Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
Eeh Mungu tufanyie wepesi 2025
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashindwa kuelewa mkopo unahusiana vipi na uwekezaji wa madini wakati mkopo utalipwa ndani ya miaka mitano, Ora,kila mtu ashinde mechi zake.Hiyo ndiyo faida ya kuwa na maliasili, au ulitaka uchumi unao uukalie?
Na yoyte hayo hi Tanganyika, kwao Zeji hapana.
Na mitanganyika imelala tu!
Cc MwashambwaNa yoyte hayo hi Tanganyika, kwao Zeji hapana.
Na mitanganyika imelala tu!
Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo.
Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya kuchimba madini muhimu katika nchi za Afrika.
Korea Kusini imeandaa kongamano na viongozi 30 wa nchi za Afrika, ikiwemo Tanzania na Ethiopia.
Kongamano linafanyika wiki hii
Tanzaia imesema kwamba itakopa dola bilioni 2.5 kutoka kwa Korea Kusini katika muda wa miaka mitano ijayo. Mkopo huo utalipwa katika muda wa miaka 5.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan vile vile amesaini mkataba utakaoiruhusu Korea Kusini kutumia bahari yake na madini yanayotumika katika teknolojia ya nishati safi kama Nickel, Lithium na Graphite.
Ethiopia nayo imesaini mkopo wa dola bilioni 1 utakaolipwa katika kipindi cha miaka minne kwa ajili ya ujenzi wa miundo mbinu, sayansi na teknolojia, afya na maendeleo ya mijini.
PIA SOMA
- Ziara ya Rais Samia Korea Kusini atasaini Mkopo wa Tsh. Trilioni 6.51
Voice of America
Navionea vizazi vijavyo huruma

Sisi ni misukule tutakuja kulaumiwa wote sisi na huyu rais wetu tuliyenaeSisi ndio tujionee huruma. Tumefeli. Tumeshindwa kujiongoza, sasa tunatapatapa.
StamicoHivi nchi kama Tanzania haiwezi kuanzisha kampuni ili iwe inachimba madini na kuyauza huko ulaya, japani na kwingineko?
Sijui wizara ya fedha tuna watu gani pale kutwa kujinasibu wana PhD za uchumi wanashindwa kung'mua kuwa cost of living inaenda kupanda maradufu kwasababu lazima tutaendelea kuimport tu coz hatuna viwanda vya kutosha ndani ya nchi na wafanyabiashara lazima watapandisha prices za bidhaa kucover garama za usafirishaji na mzigo kumwangukia mtumiaji wa mwisho ambaye ni mwananchi wa kawaida. Sasa sijui wanajaribu kutengeneza aina gani ya economic implication on current situation 😭🙌Ongezeko la freight charges is directly proportional to inflation rate baaas.
hii kauli haitakiwiKanchi kamoja kadogo kanaita nchi 30 then kinagawa mikopo ya mabillioni ya dollars. Africa tunafeli pakubwa Sana.
Ss ni matajiri
Hakuna uhusiano wowote ni topic mbili tofauti, sema kuna watu wenye chuki binafsi wanazusha uongo.N
Nashindwa kuelewa mkopo unahusiana vipi na uwekezaji wa madini wakati mkopo utalipwa ndani ya miaka mitano, Ora,kila mtu ashinde mechi zake.
URONGO. Hakuna masharti kama hayo. Mkopo huu ni sehemu ya makubaliano katika awamu ya pili ya ushirikiano wa miaka mitano ijayo. Ni mkopo nafuu utakaolipwa katika miaka 40 kuanzia mwaka wa 26 kwa riba ya 0.01%.Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo.
Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya kuchimba madini muhimu katika nchi za Afrika.
Korea Kusini imeandaa kongamano na viongozi 30 wa nchi za Afrika, ikiwemo Tanzania na Ethiopia.
Kongamano linafanyika wiki hii
Tanzaia imesema kwamba itakopa dola bilioni 2.5 kutoka kwa Korea Kusini katika muda wa miaka mitano ijayo. Mkopo huo utalipwa katika muda wa miaka 5.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan vile vile amesaini mkataba utakaoiruhusu Korea Kusini kutumia bahari yake na madini yanayotumika katika teknolojia ya nishati safi kama Nickel, Lithium na Graphite.
Ethiopia nayo imesaini mkopo wa dola bilioni 1 utakaolipwa katika kipindi cha miaka minne kwa ajili ya ujenzi wa miundo mbinu, sayansi na teknolojia, afya na maendeleo ya mijini.
PIA SOMA
- Ziara ya Rais Samia Korea Kusini atasaini Mkopo wa Tsh. Trilioni 6.51
- Prof. Kitila Mkumbo akanusha masharti ya Mkopo wa Korea Kusini
Voice of America
Usijidanganye, mikopo haigaiwi. Sema, wanakopesha.Kanchi kamoja kadogo kanaita nchi 30 then kinagawa mikopo ya mabillioni ya dollars. Africa tunafeli pakubwa Sana.
Ss ni matajiri
Hapo sasa nakuelewa mkuu... huyu mama anahitaji kukemewa vilivyo yeye na hao wasaidizi/washauri wake ambao kimsingi hawana nia njema na taifa hili pamoja na vizazi vyake.Mkuu mbona jazba jaba zima!?😂😂
Usiongee kauli jumuishi aisee,sio kila mtu anamsifia huyo mama.
Unajua kilichosainiwa?Kuna mambo yanaudhi sana kwenye hii nchi hakiyamungu, mtu unaweza ukatamani hata wapatwe na balaa tu kwakweli