VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini

"Bia zangu umekunywa...utatoa hutoi utatoa hutoi...woiyoooooo".
IMG-20240603-WA0035.jpg
IMG-20240603-WA0033.jpg
IMG-20240603-WA0020.jpg
 
Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo.

Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya kuchimba madini muhimu katika nchi za Afrika.

Korea Kusini imeandaa kongamano na viongozi 30 wa nchi za Afrika, ikiwemo Tanzania na Ethiopia.

Kongamano linafanyika wiki hii

Tanzaia imesema kwamba itakopa dola bilioni 2.5 kutoka kwa Korea Kusini katika muda wa miaka mitano ijayo. Mkopo huo utalipwa katika muda wa miaka 5.

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan vile vile amesaini mkataba utakaoiruhusu Korea Kusini kutumia bahari yake na madini yanayotumika katika teknolojia ya nishati safi kama Nickel, Lithium na Graphite.

Ethiopia nayo imesaini mkopo wa dola bilioni 1 utakaolipwa katika kipindi cha miaka minne kwa ajili ya ujenzi wa miundo mbinu, sayansi na teknolojia, afya na maendeleo ya mijini.

PIA SOMA
- Ziara ya Rais Samia Korea Kusini atasaini Mkopo wa Tsh. Trilioni 6.51

Voice of America

maumivu ya kichwa huanza polepole
 
Screenshot_2024-06-03-21-55-13-1.png
 
Ongezeko la freight charges is directly proportional to inflation rate baaas.
Sijui wizara ya fedha tuna watu gani pale kutwa kujinasibu wana PhD za uchumi wanashindwa kung'mua kuwa cost of living inaenda kupanda maradufu kwasababu lazima tutaendelea kuimport tu coz hatuna viwanda vya kutosha ndani ya nchi na wafanyabiashara lazima watapandisha prices za bidhaa kucover garama za usafirishaji na mzigo kumwangukia mtumiaji wa mwisho ambaye ni mwananchi wa kawaida. Sasa sijui wanajaribu kutengeneza aina gani ya economic implication on current situation 😭🙌
 
Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo.

Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya kuchimba madini muhimu katika nchi za Afrika.

Korea Kusini imeandaa kongamano na viongozi 30 wa nchi za Afrika, ikiwemo Tanzania na Ethiopia.

Kongamano linafanyika wiki hii

Tanzaia imesema kwamba itakopa dola bilioni 2.5 kutoka kwa Korea Kusini katika muda wa miaka mitano ijayo. Mkopo huo utalipwa katika muda wa miaka 5.

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan vile vile amesaini mkataba utakaoiruhusu Korea Kusini kutumia bahari yake na madini yanayotumika katika teknolojia ya nishati safi kama Nickel, Lithium na Graphite.

Ethiopia nayo imesaini mkopo wa dola bilioni 1 utakaolipwa katika kipindi cha miaka minne kwa ajili ya ujenzi wa miundo mbinu, sayansi na teknolojia, afya na maendeleo ya mijini.

PIA SOMA
- Ziara ya Rais Samia Korea Kusini atasaini Mkopo wa Tsh. Trilioni 6.51

- Prof. Kitila Mkumbo akanusha masharti ya Mkopo wa Korea Kusini

Voice of America
URONGO. Hakuna masharti kama hayo. Mkopo huu ni sehemu ya makubaliano katika awamu ya pili ya ushirikiano wa miaka mitano ijayo. Ni mkopo nafuu utakaolipwa katika miaka 40 kuanzia mwaka wa 26 kwa riba ya 0.01%.
Kuhusu madini ya kimkakati (strategic mineral resources-SMR), mkakati wa Tanzania ni kutafuta wawekezaji watakaowekeza katika utafiti, uchimbaji na kuongeza thamani ndani ya nchi.
Tumeweka wazi duniani kote kuwa tunataka wawekezaji watakaosafirisha betri za magari na sio madini ya kimkakati kwa lengo la kutengeneza betri hizo nje ya nchi. Kuhusu uchumi wa buluu, tumesaini mkataba kwa lengo la kushirikiana katika kuboresha teknolojia ya uvuvi, kujenga bandari za uvuvi na viwanda vya kuchakata Samaki. Eneo lingine ni ushirikiano katika teknolojia ikiwemo kujenga chuo cha TEHAMA nchini.
 
Mkuu mbona jazba jaba zima!?😂😂
Usiongee kauli jumuishi aisee,sio kila mtu anamsifia huyo mama.
Hapo sasa nakuelewa mkuu... huyu mama anahitaji kukemewa vilivyo yeye na hao wasaidizi/washauri wake ambao kimsingi hawana nia njema na taifa hili pamoja na vizazi vyake.

Binafsi nimekuwa nikiamini tangu siku ya kwanza huyu mama anahitaji kuongozwa hili uongozi wake uwe na tija kwa taifa, lakini watu hao wa kumuongoza wawe ni watu makini na wenye nia ya dhati kabisa na taifa hili, kwa bahati mbaya sana yeye anaongozwa na madalali yanayoangalia future ya familia zao tu basi na sio future ya taifa letu.
 
Back
Top Bottom