Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Siyo A.H.Mwinyi?Maneno ya Nyerere hayo, siyo yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo A.H.Mwinyi?Maneno ya Nyerere hayo, siyo yangu.
Acha chuki kafiri wwWe hamna kitu zaidi udini kumekujaa, uchambuzi wako uko biased, ovyo kabisa
Cha muhimu value for money IPO.Na yooote hayo hii Tanganyika, kwao Zenji hapana.
Na mitanganyika imelala tu!
Wajinga kama nyie wa CCM ndo maana nchi inaibiwa na haiendelei.watu wenye akili wangetengeneza hela ya maana kwa kutumia hizo maliasili badala ya kuzitoa bure.mnalaanaHiyo ndiyo faida ya kuwa na maliasili,
Safi sana nimependa hii FaizaFoxy
Japo kuna mijitu humu inakaa kwa kukalili na kufuata mkumbo
🙏
Hiyo ndiyo faida ya kuwa na maliasili,
Safi sana nimependa hii FaizaFoxy
Japo kuna mijitu humu inakaa kwa kukalili na kufuata mkumbo
🙏🙏
pole sana kwa wajinga wa kitanzaniaHakuna mungu anaeshughulika na taifa la wajinga ambao amewapa kila aina ya utajiri wao wanagawa bure, labda muwe wabunifu mumbuni mungu wenu mwingine.
Wewe tutakupeleka Mafia kwa shehe. Hakuna namnaHiyo ndiyo faida ya kuwa na maliasili, au ulitaka uchumi unao uukalie?
Siku hatutabakiwa na kitu wakianza kutoa watu na kupromote weweHiyo ndiyo faida ya kuwa na maliasili, au ulitaka uchumi unao uukalie?
Kwani mikataba ya mikopo Ina shida gani? Unadhani hizo reli itajengwa hela.ya wauza nyanya wa Ilula?Ifike mahala hiyo mikataba iwe ni between wao kwa wao na sio wananchi.. mikataba iwe na limit ya uwepo wao madarakani wakiondoka ndio iwe kikomo hapo upuuzi utaisha.
Wewe una akili..?Wajimg
Wajinga kama nyie wa CCM ndo maana nchi inaibiwa na haiendelei.watu wenye akili wangetengeneza hela ya maana kwa kutumia hizo maliasili badala ya kuzitoa bure.mnalaana
Hujaelewa vizuri kipengele halafu umekuja na maelezo mengi marefu!.Hiki kipengere sijakielewa mimi ama? Yaani tutalipa baada ya kumaliza hiyo miaka 5 ya mkopo au tunakopa huku tunalipa within those 5 years?
Alafu tunalipa mkopo huku jamaa wakiendelea kuchimba madini Ka kuhorse eneo letu la habari?😳 Hivi hizi ni akili au matope? Kwamba tulikuwa na shida Sana na mkopo wenye sharti humu kama hili kweli?
These Koreans are going to benefit twice due to this loan contract kwanza mkopo lazima uliowe pili hayo madini watakayochimba kwa hiyo miaka 5 watarudisha fedha zao zaidi ya mkopo waliotoka kwa Tanzania. Je wananchi wameambiwa matumizi ya huo mkopo au ndio utatumika kufinance uchaguzi?😩😥
Ewe Tanzania yangu dah😭😭
Matajiri wa mali sio wa akili, vitu viwili tofauti.Kanchi kamoja kadogo kanaita nchi 30 then kinagawa mikopo ya mabillioni ya dollars. Africa tunafeli pakubwa Sana.
Ss ni matajiri
Freight charges kupanda bandarini sababu ni vita mashariki ya kati, Iran kila siku anatishia kulipua nyuklia.Hahaha wacha warudi tuone watakuwa na ngonjera gani kwa watanzania. Na hili lazima tuliulizie maana tuliambiwa hazina imejaa, alipoingia mama tukaambiwa hakuna kitu hazina, wakaanza kodi zisizoeleweka chini ya Mwiguru baada ya kupiga kelele wakazifuta sasa naona wamehamia kwenye makontena toka freight charge ya dola 3000 mpaka 9000 si jambo la masihara. Nchi yenyewe inategemea importation hapo hapo mnawabana waagizaji bidhaa toka nje. Hivi ni kweli wizara ya fedha imeshindwa kubuni vyanzo vyengine vya mapato mpaka kuwakaba waagizaji bidhaa toka nje? Kwamba don't they know economic consequences ya ongezeko la freight charge kweli?
Oh Tanzania yangu😭🙌
Unaandika usichokijua. PHD kapewa na chuo cha masuala ya anga, mamlaka ya anga imepewa heshima ya hiyo PHD kwani katika viwango vya usalama mwaka 2015 tulikuwa na alama 37% tu mwaka 2021 tukafikisha alama 65% na mwaka huu tumefikisha alama 87%.uchimbaji madini ni sehemu ya ile phd,
umesahau phd ya india ndio hii Adan kapewa berth moja pale bandarini?
Hawa vipepeo hawana msaada kwenye mambo makubwa ya nchi. I wonder why?Jamani hata kama mikataba hii ina 10% mbona hiyo mihela ni mingi mno?
Ifike mahali tuseme hapana. Kazi ya TISS ni nini haswa?
Huyu mama anatuuza taratibu..Na yooote hayo hii Tanganyika, kwao Zenji hapana.
Na mitanganyika imelala tu!
Bibi FaizaFoxy majini ya msikitini kwenu hayajambo?Jibu nilichoandika wachana na mimi binafsi.