VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini

VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini

Na yooote hayo hii Tanganyika, kwao Zenji hapana.
Na mitanganyika imelala tu!
Cha muhimu value for money IPO.
Pili mikopo hiyo haifidi ubadhirifu uliotokea na unaendelea kutokea Kwa kuwapa wasanii na marafiki pesa za umma.
 
Wajimg
Hiyo ndiyo faida ya kuwa na maliasili,

Safi sana nimependa hii FaizaFoxy
Japo kuna mijitu humu inakaa kwa kukalili na kufuata mkumbo
🙏
Wajinga kama nyie wa CCM ndo maana nchi inaibiwa na haiendelei.watu wenye akili wangetengeneza hela ya maana kwa kutumia hizo maliasili badala ya kuzitoa bure.mnalaana
Hiyo ndiyo faida ya kuwa na maliasili,

Safi sana nimependa hii FaizaFoxy
Japo kuna mijitu humu inakaa kwa kukalili na kufuata mkumbo
🙏🙏
 
Kwa mikataba hii minono tuliyowapa wametuonea kumpa U-Dr bora wangempa U-Profesa kabisa!
 
Hiki kipengere sijakielewa mimi ama? Yaani tutalipa baada ya kumaliza hiyo miaka 5 ya mkopo au tunakopa huku tunalipa within those 5 years?
Alafu tunalipa mkopo huku jamaa wakiendelea kuchimba madini Ka kuhorse eneo letu la habari?😳 Hivi hizi ni akili au matope? Kwamba tulikuwa na shida Sana na mkopo wenye sharti humu kama hili kweli?
These Koreans are going to benefit twice due to this loan contract kwanza mkopo lazima uliowe pili hayo madini watakayochimba kwa hiyo miaka 5 watarudisha fedha zao zaidi ya mkopo waliotoka kwa Tanzania. Je wananchi wameambiwa matumizi ya huo mkopo au ndio utatumika kufinance uchaguzi?😩😥
Ewe Tanzania yangu dah😭😭
Hujaelewa vizuri kipengele halafu umekuja na maelezo mengi marefu!.
 
Hahaha wacha warudi tuone watakuwa na ngonjera gani kwa watanzania. Na hili lazima tuliulizie maana tuliambiwa hazina imejaa, alipoingia mama tukaambiwa hakuna kitu hazina, wakaanza kodi zisizoeleweka chini ya Mwiguru baada ya kupiga kelele wakazifuta sasa naona wamehamia kwenye makontena toka freight charge ya dola 3000 mpaka 9000 si jambo la masihara. Nchi yenyewe inategemea importation hapo hapo mnawabana waagizaji bidhaa toka nje. Hivi ni kweli wizara ya fedha imeshindwa kubuni vyanzo vyengine vya mapato mpaka kuwakaba waagizaji bidhaa toka nje? Kwamba don't they know economic consequences ya ongezeko la freight charge kweli?
Oh Tanzania yangu😭🙌
Freight charges kupanda bandarini sababu ni vita mashariki ya kati, Iran kila siku anatishia kulipua nyuklia.

Hapo Sudan na Yemen panachafuka kila kukicha, hao wanaoleta mali ukanda huu ni lazima wapandishe gharama za usafirishaji, kwao ni hatari kukatiza na meli zao mahali ambapo muda wowote unaweza kuwa ni mwisho wa maisha yako.
 
uchimbaji madini ni sehemu ya ile phd,
umesahau phd ya india ndio hii Adan kapewa berth moja pale bandarini?
Unaandika usichokijua. PHD kapewa na chuo cha masuala ya anga, mamlaka ya anga imepewa heshima ya hiyo PHD kwani katika viwango vya usalama mwaka 2015 tulikuwa na alama 37% tu mwaka 2021 tukafikisha alama 65% na mwaka huu tumefikisha alama 87%.

Wakaamua kuipa TCAA hiyo heshima kitaifa na Rais ni nembo ya nchi kwa hiyo anaipokea heshima hiyo kwa niaba ya yote yanayofanywa na taasisi zinazokuwa chini yake.

Umeongea kishabiki sana, jaribu kuondoa masihara kwa maandishi yako.
 
Nataman Mama angeandaa kitabu cha maisha yake ya urais...
Huenda tunaweza kuelewa perspective zake kipind ichi
 
Kukopa sio kosa bali tunakopa kutarget kitu gani hasa maana sioni hata cha maana kinachofanyika otherwise tubakie na makusanyo ya ndani tu
 
Back
Top Bottom