Mcheza Piano
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 562
- 1,339
Kazi ya watu wa TISS akina Maxence Melo na wengine. Je, mnafikiri mkataba huu una afya kwa ustawi wa nchi?Na yooote hayo hii Tanganyika, kwao Zenji hapana.
Na mitanganyika imelala tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi ya watu wa TISS akina Maxence Melo na wengine. Je, mnafikiri mkataba huu una afya kwa ustawi wa nchi?Na yooote hayo hii Tanganyika, kwao Zenji hapana.
Na mitanganyika imelala tu!
Na wala hasingefanya hivyo!!Angekua kafanya hivyo mgalatia comment yako isingekua hivyo
Mitano tenaTanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo.
Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya kuchimba madini muhimu katika nchi za Afrika.
Korea Kusini imeandaa kongamano na viongozi 30 wa nchi za Afrika, ikiwemo Tanzania na Ethiopia.
Kongamano linafanyika wiki hii
Tanzaia imesema kwamba itakopa dola bilioni 2.5 kutoka kwa Korea Kusini katika muda wa miaka mitano ijayo. Mkopo huo utalipwa katika muda wa miaka 5.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan vile vile amesaini mkataba utakaoiruhusu Korea Kusini kutumia bahari yake na madini yanayotumika katika teknolojia ya nishati safi kama Nickel, Lithium na Graphite.
Ethiopia nayo imesaini mkopo wa dola bilioni 1 utakaolipwa katika kipindi cha miaka minne kwa ajili ya ujenzi wa miundo mbinu, sayansi na teknolojia, afya na maendeleo ya mijini.
PIA SOMA
- Ziara ya Rais Samia Korea Kusini atasaini Mkopo wa Tsh. Trilioni 6.51
- Prof. Kitila Mkumbo akanusha masharti ya Mkopo wa Korea Kusini
Voice of America
TISS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Kazi ya watu wa TISS akina Maxence Melo na wengine. Je, mnafikiri mkataba huu una afya kwa ustawi wa nchi?
Shame on themNa ndio maana kuna utitiri wa 'udaktari wa zawadi'