Huko BurkinaFaso Hali inazidi kuwa tete Kwa bwana mdogo Rais Captain Ibrahim Traore ambae Kwa Sasa anaishi Kwa kujificha ficha akihofia usalama wake.
Hali hii inajiri kuliwa na taarifa za Wanajeshi wengi wapatao 80-120 kuuwawa n wanamgambo wa jihadi hukunikidaiwa kwamba usalama wa Nchi hiyo unazidi kudorora na kwamba Baadhi ya kambi za Jeshi zimeasi kiasi ya kupelekea Rais Traore kutokomea kusikojulikana akihofia kuuwawa na kupinduliwa so anavuta mda Ili aweze kujadiliana na wanajeshi wanaodaiwa kiasi.
Washirika wa bwana Traore kina Wagner na Mali wanajaribu kumsaidia kadiri inavyowezekana Ili kuokoa jahazi.👇👇
View: https://twitter.com/RFI_Sw/status/1803462068676509878?t=Ak1iSnfqTtFvdh4QgoyZsA&s=19
My Take
Huyu dogo wa maigizo na kibaraka wa Russia hana miaka Mingi,alidhani yeye ni malaika? Mda utaleta majibu.