inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Si ndiyo tukajazwa kwenye ujamaa na umasikini uliotopeaNyerere au Kawawa walikuwa na umri gani wakati wanaongoza Tanganyika?
Laurent Kabila alikuwa na umri gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ndiyo tukajazwa kwenye ujamaa na umasikini uliotopeaNyerere au Kawawa walikuwa na umri gani wakati wanaongoza Tanganyika?
Laurent Kabila alikuwa na umri gani?
Sasa unavyosikitika kusoma kauli ya ChoiceVariable kwa madai kwamba anamuona mzungu ni bora kuliko yeye, kwani unadjani ukiukataa ukweli ndiyo wewe utakuwa bora?Inasikitisha sana kuona kauli kama hii inatolewa na Mwafrika mwenzetu! Siku zote huwa naona Mwafrika ni mtu wa ovyo kabisa, ndio maana anaona mzungu ni bora kuliko yeye.
Ukitaka kujua jinsi Mwafrika alivyo wa ovyo fikiria yafuatayo,
1.Mtu mweusi kutoa mkataba wa Bandari kwa mweupe wakati angeweza kutoa kwa mweusi mwenzie na kusababisha mzunguko wa fedha kubaki ndani ya nchi.
2. Mtu mweusi kuruhusu mweusi mwenzie anyanyasike na mtu mweupe ndani ya nchi yake huku akiangalia tu.
3.Mtu mweusi kumuondoa mweusi mwenzie kwenye ardhi ya asili na kumpa mtu mweupe kwa thamani ya vipande kadhaa vya fedha.
Mambo ni mengi, muda ndio mchache.
Acha kabisa ni kudunguana tu yote hii ni kwaajili ya mali iliyopo ardhini. Watu wana kufa na kuangamia kwa manufaa ya mabeberu.Huyatazami mambo kwa upana wake,Mali,Burkina Faso,niger nk wametimua mabeberu,huko Kuna uranium,gas,mafuta,dhahabu,Mali mwanzo walipowatimua wafaransa,mfaransa akawapa silaha watuareg,wakateka nchi kubakiza huko Bamako,Mali akamrudisha mfaransa,tuareg wakapotezwa na nchi yao mpya ya az zawad,Sasa hizo nchi zimemkumbatia mrusi,ghafla magaidi wa kijihadi Wana nguvu
Wana hila sana hawaNa huyu jamaa aliwatimua wazungu nchini kwake sidhani kama watamwacha salama kwakweli duh!
Mkubwa ngozi nyeusi wanafki sanaaaaa kaa nao mbali alikuwepo Magu hapa alitukanwa mpaka amekuja mam kizimkazi wale wale wanasema bora Magu achana nao kabisa hawaKwakweli sijajua kwanini unasema Dogo wa maigizo, hivi ni lini Afrika tutapenda vyakwetu? huoni kwamba unatukosea waafrika wenzako? nafikiri ingalikuwa vyema kutafuta njia ya kutafuta ya jinsi ya kutatua matatizo yetu wenyewe? Kumpindua sio suluhisho bali kutafuta njia ya kutatua tatizo kwa kukubaliana wote kwa pamoja ndio njia njema. Tujipende na kulipenda bara letu.
Kabisa na wtayaponda yote aliyo wafanyia wananchi wake hata kama yalikuwa na manufaa kiasi gani, kwakweli uwezo wa kujiamulia sisi ni mdogo sana maana bei na thamani ya mali tulizo nazo zinapangwa na wakubwa huko juu sisi tunabakia watazamaji na wasikilizaji wa kusibiria amri toka kwao. Nikikumbuka Tumbaku ya Zimbabwe ilivyokuwa na thamani kwa masoko ya nnje duh!Wana hila sana hawa
Na wanaangalia maslahi yao tu
Watamuweka kibaraka wao hata kama hataonyesha yuko upande wao
Unashangaa Unasemaje Kwa Tanzania ambapo unakuta Raisi raia hajawahi kanyaga hata mgambo lakini ndie amiri jeshi mkuu anaamrisha hadi magenerali WA Jeshi sembuse huyo captainCaptain anapompa amri General ndio shida
Well saidSio kweli
Hiyo habari aliyeanza kuivumisha ni Al Jazeera chombo cha habari kinachofadhiliwa na Iran
Burikina Faso Kuna magaidi ambao wanafadhiliwa na Irani vile vikundi vya waislamu wenye siasa Kali .Raisi Traore kapata silaha za kisasa Toka Urusi na China Kawaua kibao na kuteka maeneo ya migodi ya dhahabu waliyokuwa wakiyakalia
Vita ilipokuwa Kali Uingereza na Iran na ufaransa walimuomba wakae meza moja na waasi wajadili kumaliza vita.Traore akagoma akasema hao ni wavamizi hatuwezi jadiliana nao kuwa tunachagua utumwa wa Namna Gani chini Yao
Hiyo migodi ya dhahabu ndio imekuwa ikitumika kuuza dhahabu uingereza,ufaransa na Irani na pesa zake kutumika kufadhili vita zao za kigaidi ndani ya Burkina Faso ,Nigeria ,nk ikiwemo kugharimia Hamas nk
Sasa Traore kateka hayo maeneo kayakalia wanachoendesha ni propaganda
Nchi zote zinazopakana na Burkina Faso zimewazingira magaidi wanafanya operation ya pamoja Kwa mpigo ili wasitorokee nchi nyingine
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Rais kuwa Amiri jeshi na mapinduzi bossUnashangaa Unasemaje Kwa Tanzania ambapi unakuta Raisi raja hajawahi kanyaga hata mgambo lakini ndie amiri jeshi mkuu anaamrisha hadi magenerali WA Jeshi sembuse huyo captain
Ni kweli mkuu kama sakata la sukari pia kwetuKabisa na wtayaponda yote aliyo wafanyia wananchi wake hata kama yalikuwa na manufaa kiasi gani, kwakweli uwezo wa kujiamulia sisi ni mdogo sana maana bei na thamani ya mali tulizo nazo zinapangwa na wakubwa huko juu sisi tunabakia watazamaji na wasikilizaji wa kusibiria amri toka kwao. Nikikumbuka Tumbaku ya Zimbabwe ilivyokuwa na thamani kwa masoko ya nnje duh!
HakikaJihad=nato
Nimeogopa sana mtu mjinga kama wewe ukikutana na wasiojua na unaongea kwa kujiamini kabisa.Sio kweli
Hiyo habari aliyeanza kuivumisha ni Al Jazeera chombo cha habari kinachofadhiliwa na Iran
Burikina Faso Kuna magaidi ambao wanafadhiliwa na Irani vile vikundi vya waislamu wenye siasa Kali .Raisi Traore kapata silaha za kisasa Toka Urusi na China Kawaua kibao na kuteka maeneo ya migodi ya dhahabu waliyokuwa wakiyakalia
Vita ilipokuwa Kali Uingereza na Iran na ufaransa walimuomba wakae meza moja na waasi wajadili kumaliza vita.Traore akagoma akasema hao ni wavamizi hatuwezi jadiliana nao kuwa tunachagua utumwa wa Namna Gani chini Yao
Hiyo migodi ya dhahabu ndio imekuwa ikitumika kuuza dhahabu uingereza,ufaransa na Irani na pesa zake kutumika kufadhili vita zao za kigaidi ndani ya Burkina Faso ,Nigeria ,nk ikiwemo kugharimia Hamas nk
Sasa Traore kateka hayo maeneo kayakalia wanachoendesha ni propaganda
Nchi zote zinazopakana na Burkina Faso zimewazingira magaidi wanafanya operation ya pamoja Kwa mpigo ili wasitorokee nchi nyingine
Gaddaf alikuwa miaka 27 aliwaletea ujamaa na umasikini walibya?Si ndiyo tukajazwa kwenye ujamaa na umasikini uliotopea
Akili kisoda hizi,,Wanajeshi wetu wapelekwe huko ili wapate uzoefu wa kumshughulikia kizimkazi Kwa kuiharibu Nchi yetu
Ujamaa ni chachu ya umasikini,unaviza jitihada na kuficha wavivu kwenye kundi la wengi, ujamaa unazuwia ubunifu,vijiji vya ujamaa vya Nyerere viliirudisha jamii nyuma kimaendeleo,ikapunguza hata uzalishaji wa chakula,hivi tukiwauliza wafia ujamaa,lengo la ujamaa lilikua ni nini,mnaweza kusema!?..china imepiga hatua kipindi gani,Cha ujamaa au baada ya Deng kufanya reforms na kuachana na taboos za kijamaa?!..Afrika kusini haiwezi kuwa mfano wa kutetea ujamaa,na sababu ni dhahiri,na hata wakati huo wa ubaguzi,bado walikua mbele sawa tu au zaidi ya nchi za ulaya hata kisayansi na techGaddaf alikuwa miaka 27 aliwaletea ujamaa na umasikini walibya?
Kuna nchi tofauti na South Africa(SA) ilikuwa na maendeleo kuliko Libya?
SA yenyewe wananchi wake hawakupata huduma za kijamii wote kama wa Libya.
China na Russia walikuwa wajamaa walipataje maendeleo hadi walikuja kuwajengea vyuo, reli, n.k. Sisi ilikuwaje ukatudhuru ujamaa peke yetu?
Sababu ya uvivu wetu na kukafuta sababu za kujitetea uzembe wetu Kama hizi zako. Lame excuses!!!
Hii ni kwel kabisaDah amini usiamini, kama Africa ingekuwa chini ya mkoloni ingekuwa na maendeleo kuliko ilivyo sasa.