VOA: Zaidi ya Wanajeshi 80 wa Burkina Faso wauawa na Wanajihadi. Rais Traore akimbia Ikulu na kujificha ikihofiwa Uasi wa Jeshi

Hapo kwa jicho la haraka wenye D 2 nadhan mmeshamfahamu anaetusumbua waafrika ni mmarekani yani kila kukicha anatuletea magaidi kuhakikisha hatusimami kwenye njia yetu ila Kuna watu bado wanafanya uchawa kumsifia marekani ....tutumie mawazo yetu vizuri wakuu

#marekani_ni afui_wa_afrika
 
Huko BurkinaFaso Hali inazidi kuwa tete Kwa bwana mdogo Rais Captain Ibrahim Traore ambae Kwa Sasa anaishi Kwa kujificha ficha akihofia usalama wake.

Hali hii inajiri kuliwa na taarifa za Wanajeshi wengi wapatao 80-120 kuuwawa n wanamgambo wa jihadi hukunikidaiwa kwamba usalama wa Nchi hiyo unazidi kudorora na kwamba Baadhi ya kambi za Jeshi zimeasi kiasi ya kupelekea Rais Traore kutokomea kusikojulikana akihofia kuuwawa na kupinduliwa so anavuta mda Ili aweze kujadiliana na wanajeshi wanaodaiwa kiasi.

Washirika wa bwana Traore kina Wagner na Mali wanajaribu kumsaidia kadiri inavyowezekana Ili kuokoa jahazi.👇👇

View: https://twitter.com/RFI_Sw/status/1803462068676509878?t=Ak1iSnfqTtFvdh4QgoyZsA&s=19

My Take
Huyu dogo wa maigizo na kibaraka wa Russia hana miaka Mingi,alidhani yeye ni malaika? Mda utaleta majibu.

Dogo anamaigizo gani mkuu huoni hayo mambo marekani ndo anatuletea waafrika kila siku Ugaidi... kafanya kosa gani yeye
 
Huko BurkinaFaso Hali inazidi kuwa tete Kwa bwana mdogo Rais Captain Ibrahim Traore ambae Kwa Sasa anaishi Kwa kujificha ficha akihofia usalama wake.

Hali hii inajiri kuliwa na taarifa za Wanajeshi wengi wapatao 80-120 kuuwawa n wanamgambo wa jihadi hukunikidaiwa kwamba usalama wa Nchi hiyo unazidi kudorora na kwamba Baadhi ya kambi za Jeshi zimeasi kiasi ya kupelekea Rais Traore kutokomea kusikojulikana akihofia kuuwawa na kupinduliwa so anavuta mda Ili aweze kujadiliana na wanajeshi wanaodaiwa kiasi.

Washirika wa bwana Traore kina Wagner na Mali wanajaribu kumsaidia kadiri inavyowezekana Ili kuokoa jahazi.👇👇

View: https://twitter.com/RFI_Sw/status/1803462068676509878?t=Ak1iSnfqTtFvdh4QgoyZsA&s=19

My Take
Huyu dogo wa maigizo na kibaraka wa Russia hana miaka Mingi,alidhani yeye ni malaika? Mda utaleta majibu.

Kwakweli sijajua kwanini unasema Dogo wa maigizo, hivi ni lini Afrika tutapenda vyakwetu? huoni kwamba unatukosea waafrika wenzako? nafikiri ingalikuwa vyema kutafuta njia ya kutafuta ya jinsi ya kutatua matatizo yetu wenyewe? Kumpindua sio suluhisho bali kutafuta njia ya kutatua tatizo kwa kukubaliana wote kwa pamoja ndio njia njema. Tujipende na kulipenda bara letu.
 
Ukiwekwa na Jeshi madarakani ujiandae wakati wo wote kuondolewa na Jeshi.
Harafu mimi kwangu namwona Traure ni kijana mdogo ambaye hayuko matured enough kuongoza nchi.
"Harafu"❌
 
Kwakweli sijajua kwanini unasema Dogo wa maigizo, hivi ni lini Afrika tutapenda vyakwetu? huoni kwamba unatukosea waafrika wenzako? nafikiri ingalikuwa vyema kutafuta njia ya kutafuta ya jinsi ya kutatua matatizo yetu wenyewe? Kumpindua sio suluhisho bali kutafuta njia ya kutatua tatizo kwa kukubaliana wote kwa pamoja ndio njia njema. Tujipende na kulipenda bara letu.
Wagner na Russia ni vya kwenu?
 
Kikwete hakupindua nchi wewe na hakuingia kama mwanajeshi pia
Colonel Gaddaf alikuwana umri wa miaka 27 mwaka 1969 wakati anapindua nchi.
Aliwapa Amri generals kwa miaka mingi sana na walitii.
Hapo tatizo wakoloni wa zamani wanataka vibaraka waendelee kula rasilimali za nchi husika.
Umri au cheo Cha kijeshi siyo tatizo, hizo coup de tat zote zinakuwa staged na external third parties.
 
Colonel Gaddaf alikuwana umri wa miaka 27 mwaka 1969 wakati anapindua nchi.
Aliwapa Amri generals kwa miaka mingi sana na walitii.
Hapo tatizo wakoloni wa zamani wanataka vibaraka waendelee kula rasilimali za nchi husika.
Yuko wapi Sasa 😂😂
 
Basi ni mbinu zao hizo na wameona hawatakiwi tena Wafaransa barani Africa
 
Colonel Gaddaf alikuwana umri wa miaka 27 mwaka 1969 wakati anapindua nchi.
Aliwapa Amri generals kwa miaka mingi sana na walitii.
Hapo tatizo wakoloni wa zamani wanataka vibaraka waendelee kula rasilimali za nchi husika.
Sijui hata nani tumwamini ktk hizi tawala za Afrika.
 
Sio kweli
Hiyo habari aliyeanza kuivumisha ni Al Jazeera chombo cha habari kinachofadhiliwa na Iran
Burikina Faso Kuna magaidi ambao wanafadhiliwa na Irani vile vikundi vya waislamu wenye siasa Kali .Raisi Traore kapata silaha za kisasa Toka Urusi na China Kawaua kibao na kuteka maeneo ya migodi ya dhahabu waliyokuwa wakiyakalia

Vita ilipokuwa Kali Uingereza na Iran na ufaransa walimuomba wakae meza moja na waasi wajadili kumaliza vita.Traore akagoma akasema hao ni wavamizi hatuwezi jadiliana nao kuwa tunachagua utumwa wa Namna Gani chini Yao

Hiyo migodi ya dhahabu ndio imekuwa ikitumika kuuza dhahabu uingereza,ufaransa na Irani na pesa zake kutumika kufadhili vita zao za kigaidi ndani ya Burkina Faso ,Nigeria ,nk ikiwemo kugharimia Hamas nk

Sasa Traore kateka hayo maeneo kayakalia wanachoendesha ni propaganda

Nchi zote zinazopakana na Burkina Faso zimewazingira magaidi wanafanya operation ya pamoja Kwa mpigo ili wasitorokee nchi nyingine
Huyatazami mambo kwa upana wake,Mali,Burkina Faso,niger nk wametimua mabeberu,huko Kuna uranium,gas,mafuta,dhahabu,Mali mwanzo walipowatimua wafaransa,mfaransa akawapa silaha watuareg,wakateka nchi kubakiza huko Bamako,Mali akamrudisha mfaransa,tuareg wakapotezwa na nchi yao mpya ya az zawad,Sasa hizo nchi zimemkumbatia mrusi,ghafla magaidi wa kijihadi Wana nguvu
 
Back
Top Bottom