Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kutufumbua machoNaenda kwenye mada moja kwa moja!
Hawa jamaa ni matapeli na kama umejiunga na hii kitu uwe makini unaweza toa hela na badae usilipwe kama yaliyomkuta mzee wangu.
Moja hamna mkataba wa maandishi kati yako na wao. Hii itakufanya wewe kushindwa kupeleka malalamiko yako mbele ya sheria pale wanapokataa kukulipa mazungumzo yote mnafanya kwa mdomo na makubaliano ni kwa mdomo. Serikali tunaomba muungilie kati huu mfuko umekaa kitapeli kuanzia hapo.
Mzee wangu kalazwa week mbili hosptali kubwa shida ya presha na sukari. Baada ya kutoka movie ikaanza hapo. Kwenda kwenye ofisi zao kila mtu anamtupia mwenzake zile karatasi. Jamaa wakaniambia wao wanalipa siku 5 za kulazwa na sio siku zote. Nikawaambia wakati mzee anajiunga mlisema bima yenu ni siku 30 kwa mwaka mnatoa elfu 40 leo hii siku tano. Wakasema akuelewa ila wao wanatoa siku 5. Nikasema sawa baada ya hapo wakasema mzee inahitajika risiti ya EFD machine nikawaambia mzee amuoni anatumia bima ya Jubilee mnataka tena risiti ya nini? Form hizo hapo za bima kuonesha kalazwa risiti serikali inampa Jubilee sio mimi. Hapo wakatupiana mzigo wakasema kesi yako fanya contacts mwenyewe na watu wa vodabima kwa whatsap nikapewa namba 0767984688. Tukawatumia zile documents ikapita siku nzima kimya namaanisha 24hrs. Nikatuma msg whatsap kuwa mbona hamjibu kitu.
Nikaona isiwe shida nikapiga namba 100 na kuongea nao nikaongea na mtoa huduma nikamwambia sijibiwi whatsap akasema utajibiwa.
Baada ya mda msg ikaingia kwa mzee tuma vielelezo vya kusema ulilazwa amekoti msg ile niliyosema mbona hamjibu kitu. Nikawajibu vielelezo hivo hapo juu. Nikaforward tena. Wakadai hamna report ya daktari nikawaambia someni vizuri hiyo form ya kuruhusiwa kutoka ina short history ya mgonjwa na maradhi yake.
Wakadai wao wanataka report ya Dr. Tukawaambia hatuna. Wakasema watafanyia kazi. Jana wakampigia mzee simu nakumwambia Dr. Wao kaangalia hayo maradhi ni maradhi sugu, wao bima yao hailipi magonjwa sugu. Inalipia magonjwa haya kama malaria, typhod na mengine ila magonjwa sugu hawalipi. Mzee akasema mbona hamkusema hivi toka mwanzo wakasema hakusikia vizuri ila wao hawalipi magonjwa sugu, mzee akawaambia naombeni mnitoe kwenye huduma yenu dk si nyingi msg akapewa ameondolewa kwenye huduma.
Nakuandikia wewe unaelipia bima hii kwa kukatwa m pesa uwe makini sana na hawa watu. Hakikisha una makubaliano nao kwa maandishi. Nilipatwa na hasira nikamwambia mwanasheria mshikaji wangu nataka kuwapeleka mahakamani akasema hamna ushaidi hapo ni kupoteza mda tu hamna kitu kinachomlinda mzee kwa document ya aina yeyote.
Wachek watsap voda mi mwenyewe nilijitoa baada ya kunipiga 4000 kila mwez Kwa mda wa miez kama 3 , wambie nataka kujitoa voda bima huduma ya faraja yangu Vodacom Tanzania : Welcome wata kupa maelekezoM ninayo nielekeze jinsi ya kujitoa bila kupiga simu voda
HaahaaaaAsante Sana miss chuga kwa hii tahadhari. Mimi Hawa wanyonyaji makabaila mabeberu laini zao nimezitupa baada ya wao kunisongesha.
Oyaa nataka fungua kijiwe cha uwakala , ni pm unipe mwongoz basi , nsije itupa pesa yanguMimi nawasikiliza tu badae nawaambia nna wateja nitawapokea badae tena ndo imetoka. Sio tigo bima wala voda bima sitoi ushirikiano wowote. Na nafanya kazi za uwakala hata sina muda nao
Njoo PMOyaa nataka fungua kijiwe cha uwakala , ni pm unipe mwongoz basi , nsije itupa pesa yangu
Waziri mwenyewe mwiziVoda bima tigo bima wote ni matapeli wa mitandaoni waziri wa habari tunaomba uanze na hawa maafisa uchwara 😁
Wamekutega kuna Siku utajaa kwenye 18 zao utalia kilio cha mbwa mwizivoda nilisongesha mara ya mwisho 96000 mwaka juzi sikuwalipa hadi leo pia sijaweka vocha kabisa yani laini yangu wananipa kila siku gb2 na dakika za kutosha sijui wanamana gani.mbaya zaidi nikitizama deni linakuja hauna deni
Asante boss.Naenda kwenye mada moja kwa moja!
Hawa jamaa ni matapeli na kama umejiunga na hii kitu uwe makini unaweza toa hela na badae usilipwe kama yaliyomkuta mzee wangu.
Moja hamna mkataba wa maandishi kati yako na wao. Hii itakufanya wewe kushindwa kupeleka malalamiko yako mbele ya sheria pale wanapokataa kukulipa mazungumzo yote mnafanya kwa mdomo na makubaliano ni kwa mdomo. Serikali tunaomba muungilie kati huu mfuko umekaa kitapeli kuanzia hapo.
Mzee wangu kalazwa week mbili hosptali kubwa shida ya presha na sukari. Baada ya kutoka movie ikaanza hapo. Kwenda kwenye ofisi zao kila mtu anamtupia mwenzake zile karatasi. Jamaa wakaniambia wao wanalipa siku 5 za kulazwa na sio siku zote. Nikawaambia wakati mzee anajiunga mlisema bima yenu ni siku 30 kwa mwaka mnatoa elfu 40 leo hii siku tano. Wakasema akuelewa ila wao wanatoa siku 5. Nikasema sawa baada ya hapo wakasema mzee inahitajika risiti ya EFD machine nikawaambia mzee amuoni anatumia bima ya Jubilee mnataka tena risiti ya nini? Form hizo hapo za bima kuonesha kalazwa risiti serikali inampa Jubilee sio mimi. Hapo wakatupiana mzigo wakasema kesi yako fanya contacts mwenyewe na watu wa vodabima kwa whatsap nikapewa namba 0767984688. Tukawatumia zile documents ikapita siku nzima kimya namaanisha 24hrs. Nikatuma msg whatsap kuwa mbona hamjibu kitu.
Nikaona isiwe shida nikapiga namba 100 na kuongea nao nikaongea na mtoa huduma nikamwambia sijibiwi whatsap akasema utajibiwa.
Baada ya mda msg ikaingia kwa mzee tuma vielelezo vya kusema ulilazwa amekoti msg ile niliyosema mbona hamjibu kitu. Nikawajibu vielelezo hivo hapo juu. Nikaforward tena. Wakadai hamna report ya daktari nikawaambia someni vizuri hiyo form ya kuruhusiwa kutoka ina short history ya mgonjwa na maradhi yake.
Wakadai wao wanataka report ya Dr. Tukawaambia hatuna. Wakasema watafanyia kazi. Jana wakampigia mzee simu nakumwambia Dr. Wao kaangalia hayo maradhi ni maradhi sugu, wao bima yao hailipi magonjwa sugu. Inalipia magonjwa haya kama malaria, typhod na mengine ila magonjwa sugu hawalipi. Mzee akasema mbona hamkusema hivi toka mwanzo wakasema hakusikia vizuri ila wao hawalipi magonjwa sugu, mzee akawaambia naombeni mnitoe kwenye huduma yenu dk si nyingi msg akapewa ameondolewa kwenye huduma.
Nakuandikia wewe unaelipia bima hii kwa kukatwa m pesa uwe makini sana na hawa watu. Hakikisha una makubaliano nao kwa maandishi. Nilipatwa na hasira nikamwambia mwanasheria mshikaji wangu nataka kuwapeleka mahakamani akasema hamna ushaidi hapo ni kupoteza mda tu hamna kitu kinachomlinda mzee kwa document ya aina yeyote.
Asante sana.Nakuandikia wewe unaelipia bima hii kwa kukatwa m pesa uwe makini sana na hawa watu. Hakikisha una makubaliano nao kwa maandishi. Nilipatwa na hasira nikamwambia mwanasheria mshikaji wangu nataka kuwapeleka mahakamani akasema hamna ushaidi hapo ni kupoteza mda tu hamna kitu kinachomlinda mzee kwa document ya aina yeyote.
Naenda kwenye mada moja kwa moja!
Hawa jamaa ni matapeli na kama umejiunga na hii kitu uwe makini unaweza toa hela na badae usilipwe kama yaliyomkuta mzee wangu.
Moja hamna mkataba wa maandishi kati yako na wao. Hii itakufanya wewe kushindwa kupeleka malalamiko yako mbele ya sheria pale wanapokataa kukulipa mazungumzo yote mnafanya kwa mdomo na makubaliano ni kwa mdomo. Serikali tunaomba muungilie kati huu mfuko umekaa kitapeli kuanzia hapo.
Mzee wangu kalazwa week mbili hosptali kubwa shida ya presha na sukari. Baada ya kutoka movie ikaanza hapo. Kwenda kwenye ofisi zao kila mtu anamtupia mwenzake zile karatasi. Jamaa wakaniambia wao wanalipa siku 5 za kulazwa na sio siku zote. Nikawaambia wakati mzee anajiunga mlisema bima yenu ni siku 30 kwa mwaka mnatoa elfu 40 leo hii siku tano. Wakasema akuelewa ila wao wanatoa siku 5. Nikasema sawa baada ya hapo wakasema mzee inahitajika risiti ya EFD machine nikawaambia mzee amuoni anatumia bima ya Jubilee mnataka tena risiti ya nini? Form hizo hapo za bima kuonesha kalazwa risiti serikali inampa Jubilee sio mimi. Hapo wakatupiana mzigo wakasema kesi yako fanya contacts mwenyewe na watu wa vodabima kwa whatsap nikapewa namba 0767984688. Tukawatumia zile documents ikapita siku nzima kimya namaanisha 24hrs. Nikatuma msg whatsap kuwa mbona hamjibu kitu.
Nikaona isiwe shida nikapiga namba 100 na kuongea nao nikaongea na mtoa huduma nikamwambia sijibiwi whatsap akasema utajibiwa.
Baada ya mda msg ikaingia kwa mzee tuma vielelezo vya kusema ulilazwa amekoti msg ile niliyosema mbona hamjibu kitu. Nikawajibu vielelezo hivo hapo juu. Nikaforward tena. Wakadai hamna report ya daktari nikawaambia someni vizuri hiyo form ya kuruhusiwa kutoka ina short history ya mgonjwa na maradhi yake.
Wakadai wao wanataka report ya Dr. Tukawaambia hatuna. Wakasema watafanyia kazi. Jana wakampigia mzee simu nakumwambia Dr. Wao kaangalia hayo maradhi ni maradhi sugu, wao bima yao hailipi magonjwa sugu. Inalipia magonjwa haya kama malaria, typhod na mengine ila magonjwa sugu hawalipi. Mzee akasema mbona hamkusema hivi toka mwanzo wakasema hakusikia vizuri ila wao hawalipi magonjwa sugu, mzee akawaambia naombeni mnitoe kwenye huduma yenu dk si nyingi msg akapewa ameondolewa kwenye huduma.
Nakuandikia wewe unaelipia bima hii kwa kukatwa m pesa uwe makini sana na hawa watu. Hakikisha una makubaliano nao kwa maandishi. Nilipatwa na hasira nikamwambia mwanasheria mshikaji wangu nataka kuwapeleka mahakamani akasema hamna ushaidi hapo ni kupoteza mda tu hamna kitu kinachomlinda mzee kwa document ya aina yeyote.
nitawalipa japo wazidi kuwa wavumilivuWamekutega kuna Siku utajaa kwenye 18 zao utalia kilio cha mbwa mwizi
yaaa ogopa sana sababu hamna ushahidi wowote hat ukirekod sauti utaambiwa zimetengenezwa wanashibdwag tu saign ya dolegumba halikatalikiPoleni sana kwa matatizo
Haya malalamiko yapostiwe na kwenye page zao huko INSTAGRAM & FACEBOOK pamoja na kuwa-tag wahusika inaweza kusaidia kupata msaada haraka.
Binafsi naogopa sana biashara yoyote ambayo mnamalizana kila kitu kwenye simu tu hamna kuonana wala mkataba wa maandishi