BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Hua simini katika ridhiki isiyonitoa jasho. Nilishawapiga pini na msg zao za kila dk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shida inaanzia kampuni moja ya mawasiliano inatoa utitir wa huduma na karibu zote unahudumiwa kupitia simu yako tuwajinga sana walinisumbua na simu zao nikawambia nielekezen ofisini nije nisain makubaliano kwenye makaratasi wakala kona ivi mtu na akili zake timam unaongiaje makubaliano ya mdomo
hawa vodacom watapoteza wateja muda si mrefu na kama ni kampuni yao kwann wasiwambie watej waende ofisi za vodacom kusign izo bima
Eeeh no matapeli sana hao.Naenda kwenye mada moja kwa moja!
Hawa jamaa ni matapeli na kama umejiunga na hii kitu uwe makini unaweza toa hela na badae usilipwe kama yaliyomkuta mzee wangu.
Moja hamna mkataba wa maandishi kati yako na wao. Hii itakufanya wewe kushindwa kupeleka malalamiko yako mbele ya sheria pale wanapokataa kukulipa mazungumzo yote mnafanya kwa mdomo na makubaliano ni kwa mdomo. Serikali tunaomba muungilie kati huu mfuko umekaa kitapeli kuanzia hapo.
Mzee wangu kalazwa week mbili hosptali kubwa shida ya presha na sukari. Baada ya kutoka movie ikaanza hapo. Kwenda kwenye ofisi zao kila mtu anamtupia mwenzake zile karatasi. Jamaa wakaniambia wao wanalipa siku 5 za kulazwa na sio siku zote. Nikawaambia wakati mzee anajiunga mlisema bima yenu ni siku 30 kwa mwaka mnatoa elfu 40 leo hii siku tano. Wakasema akuelewa ila wao wanatoa siku 5. Nikasema sawa baada ya hapo wakasema mzee inahitajika risiti ya EFD machine nikawaambia mzee amuoni anatumia bima ya Jubilee mnataka tena risiti ya nini? Form hizo hapo za bima kuonesha kalazwa risiti serikali inampa Jubilee sio mimi. Hapo wakatupiana mzigo wakasema kesi yako fanya contacts mwenyewe na watu wa vodabima kwa whatsap nikapewa namba 0767984688. Tukawatumia zile documents ikapita siku nzima kimya namaanisha 24hrs. Nikatuma msg whatsap kuwa mbona hamjibu kitu.
Nikaona isiwe shida nikapiga namba 100 na kuongea nao nikaongea na mtoa huduma nikamwambia sijibiwi whatsap akasema utajibiwa.
Baada ya mda msg ikaingia kwa mzee tuma vielelezo vya kusema ulilazwa amekoti msg ile niliyosema mbona hamjibu kitu. Nikawajibu vielelezo hivo hapo juu. Nikaforward tena. Wakadai hamna report ya daktari nikawaambia someni vizuri hiyo form ya kuruhusiwa kutoka ina short history ya mgonjwa na maradhi yake.
Wakadai wao wanataka report ya Dr. Tukawaambia hatuna. Wakasema watafanyia kazi. Jana wakampigia mzee simu nakumwambia Dr. Wao kaangalia hayo maradhi ni maradhi sugu, wao bima yao hailipi magonjwa sugu. Inalipia magonjwa haya kama malaria, typhod na mengine ila magonjwa sugu hawalipi. Mzee akasema mbona hamkusema hivi toka mwanzo wakasema hakusikia vizuri ila wao hawalipi magonjwa sugu, mzee akawaambia naombeni mnitoe kwenye huduma yenu dk si nyingi msg akapewa ameondolewa kwenye huduma.
Nakuandikia wewe unaelipia bima hii kwa kukatwa m pesa uwe makini sana na hawa watu. Hakikisha una makubaliano nao kwa maandishi. Nilipatwa na hasira nikamwambia mwanasheria mshikaji wangu nataka kuwapeleka mahakamani akasema hamna ushaidi hapo ni kupoteza mda tu hamna kitu kinachomlinda mzee kwa document ya aina yeyote.
Ana bima ya Jubilee ila baada ya kupigiwa simu aliaambiwa wao wanamlipa mgonjwa cash kwa siku ni elfu 40 na hata kama ana bima nyingine wao wanalipa cash.So mzee anamiliki bima zaidi ya moja!! Why
Poleni lakini.
Hawana mkataba. Mkataba ni simu unayopigiwaTatizo lipo kwako na kwa mzee wako, kabla ya kujiunga ilibidi mpate mkataba muusome na mjiridhishe. Voda wametumia ujinga wenu kuwapiga.
Ni changamoto sana malipo unadai whatsapDaah watu wanatapeliwa kijinga sana Nchi hii na Waziri mwenye dhamana yupo yaani hawa wahuni wanaangalia fursa wanawachangisha watu bila mikataba yeyote harafu hakuna huduma yeyote wanayotoa Serikali ipo kimya wakati hata wao wanapigiwa hizo simu badala ya kujiridhisha nao ndio watoe huduma wao wanatoa huduma hata bila kuwa uhakika na hiyo huduma yenyewe nilikua fundi mmoja wako busy wanaongea nikamwambia achana na huo upuuzi wafate watu wa bima kwenye ofisi zao sio hawa wahuni wa tuma taarifa kwenye WhatsApp na hela utaambiwa tuwasiliane huko WhatsApp wakati umelazwa...
Wananipigia simu kila siku hawa jamaa kumbe ndo wa hovyo hivi?Naenda kwenye mada moja kwa moja!
Hawa jamaa ni matapeli na kama umejiunga na hii kitu uwe makini unaweza toa hela na badae usilipwe kama yaliyomkuta mzee wangu.
Moja hamna mkataba wa maandishi kati yako na wao. Hii itakufanya wewe kushindwa kupeleka malalamiko yako mbele ya sheria pale wanapokataa kukulipa mazungumzo yote mnafanya kwa mdomo na makubaliano ni kwa mdomo. Serikali tunaomba muungilie kati huu mfuko umekaa kitapeli kuanzia hapo.
Mzee wangu kalazwa week mbili hosptali kubwa shida ya presha na sukari. Baada ya kutoka movie ikaanza hapo. Kwenda kwenye ofisi zao kila mtu anamtupia mwenzake zile karatasi. Jamaa wakaniambia wao wanalipa siku 5 za kulazwa na sio siku zote. Nikawaambia wakati mzee anajiunga mlisema bima yenu ni siku 30 kwa mwaka mnatoa elfu 40 leo hii siku tano. Wakasema akuelewa ila wao wanatoa siku 5. Nikasema sawa baada ya hapo wakasema mzee inahitajika risiti ya EFD machine nikawaambia mzee amuoni anatumia bima ya Jubilee mnataka tena risiti ya nini? Form hizo hapo za bima kuonesha kalazwa risiti serikali inampa Jubilee sio mimi. Hapo wakatupiana mzigo wakasema kesi yako fanya contacts mwenyewe na watu wa vodabima kwa whatsap nikapewa namba 0767984688. Tukawatumia zile documents ikapita siku nzima kimya namaanisha 24hrs. Nikatuma msg whatsap kuwa mbona hamjibu kitu.
Nikaona isiwe shida nikapiga namba 100 na kuongea nao nikaongea na mtoa huduma nikamwambia sijibiwi whatsap akasema utajibiwa.
Baada ya mda msg ikaingia kwa mzee tuma vielelezo vya kusema ulilazwa amekoti msg ile niliyosema mbona hamjibu kitu. Nikawajibu vielelezo hivo hapo juu. Nikaforward tena. Wakadai hamna report ya daktari nikawaambia someni vizuri hiyo form ya kuruhusiwa kutoka ina short history ya mgonjwa na maradhi yake.
Wakadai wao wanataka report ya Dr. Tukawaambia hatuna. Wakasema watafanyia kazi. Jana wakampigia mzee simu nakumwambia Dr. Wao kaangalia hayo maradhi ni maradhi sugu, wao bima yao hailipi magonjwa sugu. Inalipia magonjwa haya kama malaria, typhod na mengine ila magonjwa sugu hawalipi. Mzee akasema mbona hamkusema hivi toka mwanzo wakasema hakusikia vizuri ila wao hawalipi magonjwa sugu, mzee akawaambia naombeni mnitoe kwenye huduma yenu dk si nyingi msg akapewa ameondolewa kwenye huduma.
Nakuandikia wewe unaelipia bima hii kwa kukatwa m pesa uwe makini sana na hawa watu. Hakikisha una makubaliano nao kwa maandishi. Nilipatwa na hasira nikamwambia mwanasheria mshikaji wangu nataka kuwapeleka mahakamani akasema hamna ushaidi hapo ni kupoteza mda tu hamna kitu kinachomlinda mzee kwa document ya aina yeyote.
Kama kuna mtu ana mkataba nao atuonyeshe hapa. Mkataba unapigiwa simu.Kwanza haiwezekani bima ya afya ianze kutumika baada tu ya kulipia. Ingekuwa hivyo kampuni nyingi zingefilisika. Ingekuwa mtu akiona ana chronic disease anakata bima ili ahudumiwe.
Pili, kulipia bima na kupewa ahadi ya huduma huwa ni makubaliano ya kimkataba na hiyo huitwa policy. Na humo Kuna inclusion na exclusion clause. Unapaswa kusoma kujua haki zako, wajibu wako na makataa.
Nimewachukia sana hawa jamaa kuibia watu bila woga.wajinga sana walinisumbua na simu zao nikawambia nielekezen ofisini nije nisain makubaliano kwenye makaratasi wakala kona ivi mtu na akili zake timam unaongiaje makubaliano ya mdomo
hawa vodacom watapoteza wateja muda si mrefu na kama ni kampuni yao kwann wasiwambie watej waende ofisi za vodacom kusign izo bima
Kama una mkataba wa maandishi labda ila mdomo iyo umepigwa.Na hii bima ya magari ya voda je?nayo ina longo longo?
Umesahau betting hapo.shida inaanzia kampuni moja ya mawasiliano inatoa utitir wa huduma na karibu zote unahudumiwa kupitia simu yako tu
ndio maana zingine wanashindwa kuhudumia wateja kwa ufanisi
*MIKOPO
*BAHATI NASIBU
*BIMA
*VOCHA/VIFURUSHI
*KUWEKA AKIBA
*MIAMALA YA KIFEDHA
*UUZAJI WA SIMU
*MALIPO YA BIDHAA NA HUDUMA
hizi ni baadhi tu na zote mkiwa na shida mpige namba 100 unadhan wote mtahudumiwa kwa ufanisi???
Wakikupigia tena waambie tu wakutumie policy yao ucheki inclusion na exclusion clauses.Mimi nawasikiliza tu badae nawaambia nna wateja nitawapokea badae tena ndo imetoka. Sio tigo bima wala voda bima sitoi ushirikiano wowote. Na nafanya kazi za uwakala hata sina muda nao
Yy mwenyewe anapasentage yake ndio maana hawezi kutoa neno.Waziri husika nae yupo kimya tu.
Wezi sana hawa jamaa.yaaa ogopa sana sababu hamna ushahidi wowote hat ukirekod sauti utaambiwa zimetengenezwa wanashibdwag tu saign ya dolegumba halikataliki
Dah!Asante kwa kutujuza...mi nna mwaka wa pili tigo nachangia na voda sasa miezi minne hii.....ngoja nijitoe....nilichopoteza kinatosha.Naenda kwenye mada moja kwa moja!
Hawa jamaa ni matapeli na kama umejiunga na hii kitu uwe makini unaweza toa hela na badae usilipwe kama yaliyomkuta mzee wangu.
Moja hamna mkataba wa maandishi kati yako na wao. Hii itakufanya wewe kushindwa kupeleka malalamiko yako mbele ya sheria pale wanapokataa kukulipa mazungumzo yote mnafanya kwa mdomo na makubaliano ni kwa mdomo. Serikali tunaomba muungilie kati huu mfuko umekaa kitapeli kuanzia hapo.
Mzee wangu kalazwa week mbili hosptali kubwa shida ya presha na sukari. Baada ya kutoka movie ikaanza hapo. Kwenda kwenye ofisi zao kila mtu anamtupia mwenzake zile karatasi. Jamaa wakaniambia wao wanalipa siku 5 za kulazwa na sio siku zote. Nikawaambia wakati mzee anajiunga mlisema bima yenu ni siku 30 kwa mwaka mnatoa elfu 40 leo hii siku tano. Wakasema akuelewa ila wao wanatoa siku 5. Nikasema sawa baada ya hapo wakasema mzee inahitajika risiti ya EFD machine nikawaambia mzee amuoni anatumia bima ya Jubilee mnataka tena risiti ya nini? Form hizo hapo za bima kuonesha kalazwa risiti serikali inampa Jubilee sio mimi. Hapo wakatupiana mzigo wakasema kesi yako fanya contacts mwenyewe na watu wa vodabima kwa whatsap nikapewa namba 0767984688. Tukawatumia zile documents ikapita siku nzima kimya namaanisha 24hrs. Nikatuma msg whatsap kuwa mbona hamjibu kitu.
Nikaona isiwe shida nikapiga namba 100 na kuongea nao nikaongea na mtoa huduma nikamwambia sijibiwi whatsap akasema utajibiwa.
Baada ya mda msg ikaingia kwa mzee tuma vielelezo vya kusema ulilazwa amekoti msg ile niliyosema mbona hamjibu kitu. Nikawajibu vielelezo hivo hapo juu. Nikaforward tena. Wakadai hamna report ya daktari nikawaambia someni vizuri hiyo form ya kuruhusiwa kutoka ina short history ya mgonjwa na maradhi yake.
Wakadai wao wanataka report ya Dr. Tukawaambia hatuna. Wakasema watafanyia kazi. Jana wakampigia mzee simu nakumwambia Dr. Wao kaangalia hayo maradhi ni maradhi sugu, wao bima yao hailipi magonjwa sugu. Inalipia magonjwa haya kama malaria, typhod na mengine ila magonjwa sugu hawalipi. Mzee akasema mbona hamkusema hivi toka mwanzo wakasema hakusikia vizuri ila wao hawalipi magonjwa sugu, mzee akawaambia naombeni mnitoe kwenye huduma yenu dk si nyingi msg akapewa ameondolewa kwenye huduma.
Nakuandikia wewe unaelipia bima hii kwa kukatwa m pesa uwe makini sana na hawa watu. Hakikisha una makubaliano nao kwa maandishi. Nilipatwa na hasira nikamwambia mwanasheria mshikaji wangu nataka kuwapeleka mahakamani akasema hamna ushaidi hapo ni kupoteza mda tu hamna kitu kinachomlinda mzee kwa document ya aina yeyote.
Ana Jubilee bima.. alifata nini Vodabima .....Naenda kwenye mada moja kwa moja!