Voda Bima ni zaidi ya Utapeli

Asante kutufumbua macho
 
Na hii bima ya magari ya voda je?nayo ina longo longo?
 
voda nilisongesha mara ya mwisho 96000 mwaka juzi sikuwalipa hadi leo pia sijaweka vocha kabisa yani laini yangu wananipa kila siku gb2 na dakika za kutosha sijui wanamana gani.mbaya zaidi nikitizama deni linakuja hauna deni
Wamekutega kuna Siku utajaa kwenye 18 zao utalia kilio cha mbwa mwizi
 
Poleni sana kwa matatizo

Haya malalamiko yapostiwe na kwenye page zao huko INSTAGRAM & FACEBOOK pamoja na kuwa-tag wahusika inaweza kusaidia kupata msaada haraka.

Binafsi naogopa sana biashara yoyote ambayo mnamalizana kila kitu kwenye simu tu hamna kuonana wala mkataba wa maandishi
 
Asante boss.
 
Asante sana.
 
Mi hawa Mbwa toka wajue nimejiunga na M Koba wananipigia simu kila mara kunilazimisha kujiunga na Bima yao.Ila nikawastukia wamelegea kutaka ela kirahisi kama Malaya.
 

Matapeli kabisa, nilisikitika sana maana wanapiga kwa namba 100
 
wajinga sana walinisumbua na simu zao nikawambia nielekezen ofisini nije nisain makubaliano kwenye makaratasi wakala kona ivi mtu na akili zake timam unaongiaje makubaliano ya mdomo

hawa vodacom watapoteza wateja muda si mrefu na kama ni kampuni yao kwann wasiwambie watej waende ofisi za vodacom kusign izo bima
 
yaaa ogopa sana sababu hamna ushahidi wowote hat ukirekod sauti utaambiwa zimetengenezwa wanashibdwag tu saign ya dolegumba halikataliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…