Voda Bima ni zaidi ya Utapeli

Kuna siku niliwahi kujiuliza kimoyomoyo navyoijua Bongo na njaa ilivyo na Wabongo nawajua nikajisemea hivi hii bima inaiva vip mpaka wakulipe Kuna kitu tu nikaona kilivyojiset Kuna complication ila tu binafsi sikuwahi kuwaza kujiunga nayo....Tunashukuru Mkuu Kwa taarifa...
 
shida inaanzia kampuni moja ya mawasiliano inatoa utitir wa huduma na karibu zote unahudumiwa kupitia simu yako tu
ndio maana zingine wanashindwa kuhudumia wateja kwa ufanisi

*MIKOPO
*BAHATI NASIBU
*BIMA
*VOCHA/VIFURUSHI
*KUWEKA AKIBA
*MIAMALA YA KIFEDHA
*UUZAJI WA SIMU
*MALIPO YA BIDHAA NA HUDUMA

hizi ni baadhi tu na zote mkiwa na shida mpige namba 100 unadhan wote mtahudumiwa kwa ufanisi???
 
Kwanza haiwezekani bima ya afya ianze kutumika baada tu ya kulipia. Ingekuwa hivyo kampuni nyingi zingefilisika. Ingekuwa mtu akiona ana chronic disease anakata bima ili ahudumiwe.

Pili, kulipia bima na kupewa ahadi ya huduma huwa ni makubaliano ya kimkataba na hiyo huitwa policy. Na humo Kuna inclusion na exclusion clause. Unapaswa kusoma kujua haki zako, wajibu wako na makataa.
 
Eeeh no matapeli sana hao.
 
Ni changamoto sana malipo unadai whatsap

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Wananipigia simu kila siku hawa jamaa kumbe ndo wa hovyo hivi?
 
Kama kuna mtu ana mkataba nao atuonyeshe hapa. Mkataba unapigiwa simu.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Nimewachukia sana hawa jamaa kuibia watu bila woga.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Ila watu mnamaajabu yaani kweli kabisa unakata sijui VODABIMA au TIGOBIMA
 
Umesahau betting hapo.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Mimi nawasikiliza tu badae nawaambia nna wateja nitawapokea badae tena ndo imetoka. Sio tigo bima wala voda bima sitoi ushirikiano wowote. Na nafanya kazi za uwakala hata sina muda nao
Wakikupigia tena waambie tu wakutumie policy yao ucheki inclusion na exclusion clauses.
 
Dah!Asante kwa kutujuza...mi nna mwaka wa pili tigo nachangia na voda sasa miezi minne hii.....ngoja nijitoe....nilichopoteza kinatosha.
 
Ana Jubilee bima.. alifata nini Vodabima .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…