Voda Bima ni zaidi ya Utapeli

Ana bima ya Jubilee ila baada ya kupigiwa simu aliaambiwa wao wanamlipa mgonjwa cash kwa siku ni elfu 40 na hata kama ana bima nyingine wao wanalipa cash.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Anhaa, kumbe bima sio kama mifuko ya jamii. Wao sheria yao hairuhusu kusajili mteja ambaye yupo kwenye mfuko mwingine.
Mfano NSSF na PSPF ni 'mutually exclusive' sijajua kwa hiyari.

Kwa anayejua, hivi gari unaweza likatia bima mbili. Na je likitokea jambo unapata malipo pande mbili? It could be a smart move, comprehensive mfano ukipoteza gari moja unalipwa mawili. Plus unapunguza kufuatilia polisi mara moja af document unasubmitt sehem mbili🤔. Mmoja anijibu.
 
Kwa non health insurance nina hakika hairuhusiwi. Ila pia kwa health insurance mantiki Inaonyesha huwezi ku-claim malipo kwa entity mbili za bima. Msingi wa bima ni kuhakikisha unarudi ulipo na haikupi faida, inakupa manufaa
 
Dah labda watu wa voda bima waseme. Maana si tumeambiwa ingekuwa malaria au ugonjwa mwingine ndo wanalipa ila sio ugonjwa wa mda mrefu.
 
Dah labda watu wa voda bima waseme. Maana si tumeambiwa ingekuwa malaria au ugonjwa mwingine ndo wanalipa ila sio ugonjwa wa mda mrefu.
Wameamua kuleta hizo swagga.

Basi labda kwenye makaratasi yao watakuwa wameainisha kwamba hawalipi ila mteja ndio hakujulishwa waziwazi.

Ni kosa kukosa uwazi katika mikataba. Yaani ukiona mtu anafichaficha ujue kuna kitu anaficha. Obvious, isn't it🤔.... 😂🤣

Hawajajitofautisha na wanaotangaza bidhaa halafu, eti bei njoo inbox
 
Wanang'ang'aniga KWELI. Bima ya chombo Cha moto, bima ya chombo Cha moto. Maana wanajua li chuma mpaka lije kupata ajali sio leo. Ila kwa bima ya watu Ni utapeli tu.
 
mkuu ni kweli ni meclaim bima fidia ya mtoto kulazwa 4 days wakajibu eti hayupo kwenye bima nayolipia kuwapigia wakasema ooh ni sawa tutumie kadi ya bima, na cheti chake cha kuzaliwa what a nonsense coz katika viambatanisho wanavyotaka vyote nikiweka sasa ikaja ishu ya birth cert na kadi nikawatumia wamekaa kimya walijbu tu," documents are well received we are working on it " ndo kimya leo siku ya kumi wakati walisema process siyo zaidi ya two days ni mataleli hawa nimestuka.
 
Dah labda watu wa voda bima waseme. Maana si tumeambiwa ingekuwa malaria au ugonjwa mwingine ndo wanalipa ila sio ugonjwa wa mda mrefu.
mi nadhani wanakufanyia fidia ya kulazwa na sii unaumwa nini coz ww umelazwa wao wanatakiwa wakupe 40 yako per day habari ingine inakuwa ujanja ujanja Matalel hawa
 
Duuh, kama ni hivyo kweli ni Matapeli na inaonekana hawakujipanga kabisa kabla ya kuanzisha hii huduma.

Eti hatudeal na magonjwa sugu, si waweke wazi tangu mapema waone kama kuna watu watajiunga na hiyo BIMA. kwasababu kama 80% ya wateja watakuwa wa hayo magonjwa wanaoita sugu

Na kwanini hawawi na mkataba kati yao na Mteja ili mteja ajue vigezo na masharti mapema?

Vodacom Tanzania mnazingua sana ninyi, mbona kwenye M-KOBA mko vizuri?
 
Duuuhh, sikuwa naijua hii Bima.

Hawakupi maelezo halafu baadae wanakuambia hukusikia, ni njia ya utapeli.
 
Wananipigiaga, nikisikia kuhusu bima tu nakata.
Kumbe wana uswahili? Ahsante Miss kwa taadhari na poleni kwa changamoto.
"Uswahili" umehusu nini hapo? Uswahili ni ustaarabu, hata hapa unaandika Kiswahili halafu unauponda.

Aliofanyiwa ni ushenzi siyo uswahili, washenzi wenyewe ni wale wanaouponda uswahili.
 
Utapeli nchi Umezaliwa upya mkuu.
 
"Uswahili" umehusu nini hapo? Uswahili ni ustaarabu, hata hapa unaandika Kiswahili halafu unauponda.

Aliofanyiwa ni ushenzi siyo uswahili, washenzi wenyewe ni wale wanaouponda uswahili.
Uswahili_ mambo ambayo hayajanyooka.
 
BodaBima wamenipiga napambana warudishe pesa zangu

Siku ya Alhamisi nimeweka pesa kwenye simu mara elfu 7 imekatwa toka Mpesa kwa maelezo eti malipo ya vodabima

Mimi nilijiunga na voda bima mwaka jana baada ya kuona kuwa nikijitibu hawawezi kunirudishia pesa maana ni ubabaishaji kufika mwaka huu mwezi wa nne nikajitoa rasmi
Sasa iweje 30 May wakate pesa zangu?

Kuwauliza wanasema sikujitoa basi nikawauliza swali kama sikujitoa mbona hamkunikata pesa mwezi wa tano na wa sita mwanzoni? Wakati pesa nilikuwa naweka kwenye Mpesa? Kimya

Sasa huu mchongo voda wanahusika maana hiyo Voda bima ni yao

Sasa napambana wanirudishie pesa yangu kama sivyo nitafanya maamuzi

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…