Voda Bima ni zaidi ya Utapeli

Nnajiuliza tu kama hakuna sheria inayokataa.

Maana ukifikiria mfano bima mbili za gari moja, comprehensive. Ukilipoteza moja basi utalipwa mawili inasound kama sio hivii. Sina hakika lakini kuhusu sheria mahsusi.
Ni makosa?
 
Utaratibu uko wazi wamefuata utaratibu wa kisheria kupitia trusted distribution channel na watu wengi wanalipwa claims zao mbona
 
Wakikupigia tena waambie tu wakutumie policy yao ucheki inclusion na exclusion clauses.
Mbn ziko wazi na mteja anaelezwa kabla ya kujiunga
Mfano Exclusions
Kansa, korona kipindu pindu

Maradhi sugu fidia ni miezi 6
Maradhi mengine ni mwezi mmoja baada ya kujiunga
 
Dah!Asante kwa kutujuza...mi nna mwaka wa pili tigo nachangia na voda sasa miezi minne hii.....ngoja nijitoe....nilichopoteza kinatosha.
Fuatilia kila mmoja huzungumza lwake watu wanalipwa mkuu
 
Dah labda watu wa voda bima waseme. Maana si tumeambiwa ingekuwa malaria au ugonjwa mwingine ndo wanalipa ila sio ugonjwa wa mda mrefu.
Yote yanalipwa isipokuwa maradhi ya mlipuko na kansa
 
Pole mkuu ila check me dm tuone namna ya kusaidiwa
 
Wananipigiaga, nikisikia kuhusu bima tu nakata.
Kumbe wana uswahili? Ahsante Miss kwa taadhari na poleni kwa changamoto.
Wabongo kila siku tunaibiwa, lakini hatuachi kujihusisha na hizi ofa za mitandaoni.

Unalipa hela kwa mtu usiyemfahamu na hakuna vielelezo ili iweje?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Nmetapeliwa jana na voda bima
 
Ni kazi sana Unaumwa alafu uanze kufatilia mitandaoni malipo yaan mteja wao eti hawakuamini tena rakini kipindi naweka pesa M-pesa wanakata kila mwezi bila hata kunishirikisha leo mimi nmeugua hawataki kutoa hata bodo au ndo kusema Kunya anye kuku akinya bata kaharisha

Nmejiondoa leo rasimi voda bima

Exalioth yuda
jf_geita
 
La,kumbe matapeli,najitoa leoleo hawana maana kabisa ,wakati wa kujiunga wanakubembeleza ukipata shida ndo utawajua rangi Yao halisi
 
M ninayo nielekeze jinsi ya kujitoa bila kupiga simu voda
Nirahisi sana kujitoa,piga 1.*150*00# 2.-huduma za kifedha 3-vodabima.4-faraja yangu 5-kujitoa.mwisho litakuja faraja yangu 4000 kujitoa,weka namba Moja bonyeza ok utakuwa umejitoa,la Mimi wamenikata kama miezi minne,nilikuwa sijui kama ni matapeli kiasi hiki,nimejiondoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…