Vodacom kubadili vifurushi kuanzia jumatatu 16/08/2021

Kufikia kesho Tozo kwenye miamala ya simu zina maliza mwezi 15/07-- 15/08,

Tuna imani wameshaona muelekeo wa mapato ile Average Transactions ya 2,700,000 kwa siku kwenye mtandao wa Tigo imeshuka sana na mingine as well, Rais Samia ile kamati uliyo unda mpaka sasa itakua na Majibu ni namna gani hizo Tozo zipunguzwe / ikiwezekana ziondolewe.
 
Tanzania yote Mtandao ni Vodacom tu?
 
Kutoka zantel
 
Wataleta vifurushi vya kizalendo zaidi [emoji4]
vipande tu tena 2000 iwe ni mb 50 kwa siku
Vigezo na Masharti Kuzingatiwa, bila shaka tunarudia vile vifurushi vilivyositishwa awali...hongera kwa wadau wote kwa kulishughulikia hila suala[emoji4]View attachment 1891748
Naona sasa suala limeshashughulikiwa...watapandisha kwa raha zao.
mtaambiwa ni tozo maalum za kujenga madaraja vijijini.
Utakuwa unaziweka [emoji23]
ninyi jamaa...
 
CCM CHANZO CHA MATATIZO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…