Vodacom kubadili vifurushi kuanzia jumatatu 16/08/2021

Wapandishe tu ili tuweze kuongea lugha moja. Huku tozo za miamala, huku tozo za vifushi na kule tozo ya mafuta!
 
Ila hiki suala la washindani kukaa chini na kupanga bei kwa pamoja wanalifanya wenyewe au wanashirikisha mamlaka husika (TCRA)?, vinginevyo ni kinyume na kanuni za FCC
 
Mkuu. Jiwe hakukosea alivyosema tutamkumbuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: nao
Hii ndio ile wachumi wanaiita OLIGOPOLY market. Makampuni machache yanayofanya aina fulani ya biashara. Wanakaa mezani kwa pamoja na kukubaliana kuwa ya nini kushindana wakati wateja ni walewale?? Tuweke bei sawa kote, wateja hawatakuwa na ujanja watanunua tu, sisi tushindane kwenye coverage labda na speed, kuhusu bei wote tuwe sawa. DEAL

Wengine ni makampuni ya Simenti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…