Vodacom Kulikoni? TCRA hebu tuokoeni na hizi gharama za Data

Duuh ngumu sana kuzimaliza... ila ingekuwa kwa wale jamaa wa tuma kwenye namba hii, nadhani zingekata upesi.
 
Au kwa vile line yangu ni mpya.
 

Attachments

  • Screenshot_20210309-195341_Phone.jpg
    167.8 KB · Views: 1
Yeah
Au kwa vile line yangu ni mpya.
Hii line itakuwa mpya, nachokushauri ili udumu na hizo offer au kuongezewa zaidi bc usivuke matumizi yani kama n 1gb usiimalize waachie ata mb 10 waenjoy nazo kama ni dak waachie ata 5 wafurahi nazo. Au tumia ziishe kulingana na muda wa matumizi. Ukiwa unapewa then unapukutisha zote huenda ata kabla muda haujaifika wa kuisha bc jua hiyo offer haitakuwa na muda mrefu itaondolewa utaletewa pakubwa zaidi.
 
Dooh sawa mkuu
 

Halotel kwenye bando na dakika wako vizuri, sema kasi yao kwa wilayani ni vijijini iko slow sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…