Mr mutuu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2023
- 2,869
- 14,501
Hivi mnajiona nyie ni wajanja sana au si wateja wenu ndo mnatukuta malofa sana?
Hivi kwanini mtu kama ana dakika bado zimebaki kwenye kifurushi chake let's say Cha mwezi halafu akiunga kingine kabla Kile hakijaisha msifanye tu kutop up hilo bando, au basi akiendelea kutumia mkate zile dakika ambazo zipo kifurushi cha zamani kinachokaribia ku expire? Badala yake nyie mnakazana tu kukata dakika kwenye kifurushi kipya ilhali Cha zamani mnakiacha kwasababu mnajua dakika zita expire...
Sasa TCRA mna kazi gani kama minor things kama hizi hamuwezi watetea wananchi? Au kwasababu nyie mnapewa unlimited bundles sio?
Pumbavu zenu!!