Vodacom kuna muda mnakua na ujinga sana

Vodacom kuna muda mnakua na ujinga sana

Mr mutuu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2023
Posts
2,869
Reaction score
14,501
Hivi mnajiona nyie ni wajanja sana au si wateja wenu ndo mnatukuta malofa sana?

Hivi kwanini mtu kama ana dakika bado zimebaki kwenye kifurushi chake let's say Cha mwezi halafu akiunga kingine kabla Kile hakijaisha msifanye tu kutop up hilo bando, au basi akiendelea kutumia mkate zile dakika ambazo zipo kifurushi cha zamani kinachokaribia ku expire? Badala yake nyie mnakazana tu kukata dakika kwenye kifurushi kipya ilhali Cha zamani mnakiacha kwasababu mnajua dakika zita expire...

Sasa TCRA mna kazi gani kama minor things kama hizi hamuwezi watetea wananchi? Au kwasababu nyie mnapewa unlimited bundles sio?

Pumbavu zenu!!
 
Ninavyojua kuhusu vifurushi ipo hivi, ukiwa na kifurushi cha wiki then ukajiunga kingine labda cha siku kitatumika kile cha siku ndo kiendelee cha wiki, vilevile ukiwa na cha mwezi ukaunga kingine cha wiki before kile cha mwezi kuisha kitaanza kukatwa cha wiki,.
Hiyo ni kwa mujibu wa mtandao wa tigo,

Sasa kama umeunga cha mwezi Kisha ukaunga kingine cha mwezi then waanze kukata kipya waache cha mwanzo huo ni wizi wa waziwazi..
 
Japokua siipendi hiyo kampuni ila ukijiunga kifurushi sawa na ulichojiunga mwanzo wanafanya top-up, kifurushi kikiwa tofauti ndio hawa top-up
 
Back
Top Bottom