Ninavyojua kuhusu vifurushi ipo hivi, ukiwa na kifurushi cha wiki then ukajiunga kingine labda cha siku kitatumika kile cha siku ndo kiendelee cha wiki, vilevile ukiwa na cha mwezi ukaunga kingine cha wiki before kile cha mwezi kuisha kitaanza kukatwa cha wiki,.
Hiyo ni kwa mujibu wa mtandao wa tigo,
Sasa kama umeunga cha mwezi Kisha ukaunga kingine cha mwezi then waanze kukata kipya waache cha mwanzo huo ni wizi wa waziwazi..