Vodacom: Mamilioni wameacha kutumia M-Mpesa hasa vijijini, ni hatari kwa biashara yetu

Vodacom watalimia meno mwaka huu
 
“Revenue has dropped drastically because consumers are not using our services as they were in the beginning. The situation is not good, “he said.
Ni Hatari sana , Mh SSH hana washauri wazuri wa Uchumi , watamuharibia sana kwa wananchi.
 
Reactions: BAK
Mwigulu hapaswi kuwepo kwenye ofisi yoyote ya Umma
 
Absolute unfair competition.

Sheria ni ya kibaguzi, inakandamiza mobile network co. while inabeba mabenki.

Fair competition commission nao wanakenua tu.
Kimsingi ilipaswa sheria iguse financial sector na commumication kwa pamoja kwa vile ni vigumu kuviyenganisha kimapato na usafirishaji pesa.
 
They shouldn't call it a tax.
Unaitaje kodi wakati ile charge of the service offered by mpesa let say enzi zile tunatoa Tsh 1,000,000 wakawa wanakata Tsh 8,000 tulikuwa tunatozwa VAT on it iliyosababisha ifike Tsh 8,000!

Ndio maana Network Service Providers or Operators wameamua kulitenga fungu la uonevu! Unatozaje kodi hela ambazo umeshazitolea kodi from theirs source of income? Kutoza kodi kwenye rate za zamani ilikuwa sawa kabisa because it was meant for a charge of value of transfer cost accepted by the user!
 
yaani mimi sasa hvni mwendo wa buku ya kununua bundle au luku tu basi...
 
Hapa ndo dhahiri shahiri kuwa wachumi wetu walikurupuka katika jambo hili.... Transactions zimeporomoka....
 
Sasa mmegundua kwamba suala likiwahusu wananchi wao wenyewe wanamaliza, hakuna mdomo takataka yoyote ya kisiasa hapo.
Hakuna hata kuandamana...wala kuingia barabarani, wala kushawishiwa...watu wame-mute tu kutuma pesa, serikali yenyewe na makampuni ya simu wanaongea...wanapata joto ya jiwe.
 
Inauma kutuma laki mitandao mwingine elfu 4 voda to voda 3500. Bado wakienda kutoa wanakatwa. Mwigulu ni Taahira.
 
CCM tunaupiga mwingi. Bunge limepitisha sheria kisha Mama akasaini. Wananchi wamegomea sasa inabidi bunge liitwe kwa dharura lifute hiyo sheria.
Mwigulu na Majaliwa wakifuta hiyo sheria bila kuitisha bunge tutajua hatuna bunge bali kikao cha wa.huni!
Na wakienda kuifuta hiyo sheria wasilipwe zile posho zao za vikao, maana waliipitisha bila umakini.
 
Siyo baadhi wengi tumeacha kutumia tumehamia bank tu,acha waparurane waje kuamka sisi tuko mbali.

Siyo baadhi wengi tumeacha kutumia tumehamia bank tu,acha waparurane waje kuamka sisi tuko mbali.
Kusema kweli kodi/tozo kidogo mbinu zaidi ya kutoza kodi kwa maeneo mengi kuliko tozo kubwa ya tamaa na mkupuo na isiyo rafiki.Hili kila siku linasemwa lakini sijui tunashindwa wapi.serikali ibadilishe attittude ya wapanga sera za kodi angalia maeneo mengi yalyo sekta isiyo rasmi hayatozwi kodi na tozo i.e taxi bubu nyingi zinapata mapato yasiyo ripiwa kodi au tozo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…