The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Mitandao ya simu imerahisisha maisha kwa kuruhusu mtu kujirudishia pesa aliyotuma kimakosa kwenda kwa mtu mwingine. Hili tumelipokea kwa mikono miwili.
Sasa naomba muweke uwezo wa mtu kurudisha muamala wa pesa ambayo ameipokea kimakosa au ambayo haitambui.
Naomba wazo hili mlifanyie kazi haraka iwezekanavyo.
Ahsante.
Sasa naomba muweke uwezo wa mtu kurudisha muamala wa pesa ambayo ameipokea kimakosa au ambayo haitambui.
Naomba wazo hili mlifanyie kazi haraka iwezekanavyo.
Ahsante.