Hii kitu still bado iangaliwe watu watalizwa sana mana mtu anakutumia hela lets anakulipa anafika mbele ana reverse transaction, Voda wanachofanya now ukituma hela kimakosa una report wana freeze ile amount afu wanawacheki wote ili kujilizisha which for me is nice approach