Wewe masikini bana , na nakushauri achana na CCM utapotea. Nenda shule jiendeleze kielimu ufike mbali. Hakuna atakae kuteua CCM utatumika kuimba Mama anaweza, umasikini utakuangamiza Kama hadi sasa unanunua bando za jero. Vodacom unlimited si 150K tu kwa mwezi, unatoa wapi nguvu ya kuandika mama anaweza mama anatimiza kama hata 150K kwa mwezi ni tatizo ? Mambo ya aibu sana.
Kwa mbwembwe zako ulitakiwa hata home kwako uwe umefunga Zuku unlimited. Unakula wifi free hata ukiwa chooni, sio kuchungulia bando imefika ngapi
Hapo unakuta unaishi Mapinga au Buza kwa Mpalange….. MAMA ANAweza Mama anatosha Lucas Mwashambwa