VODACOM naomba mnisaidie kwanini Mb zangu zinakwisha Haraka pasipo matumizi utafikiri kuna jini linakula?

Tafuta hela jomba karne hii bado unaongelea salio la jero(500).
Nasema kuwa siwekagi bando la jero bali niliweka kuangalia hali hiyo ya mabadiliko ya ghafla.sasa wewe umeona hali isiyo ya kawaida unaanzaje kujiunga bando la bei kubwa kabla ya kupata ufumbuzi na majibu?
 
Mimi sijaanza kutumia voda jana wala juzi.ni mtumiaji wa muda mrefu sana
 
Ningekuwa najiunga bando la jero nisingekuwa nakuwepo humu jukwaani muda wote .lakini nadunda humu jukwaani kwa kuwa naweka bando la kutosha kuniwezesha kuwepo humu mwaka hadi mwaka na kujaa kama pishi la mchele.
Wewe masikini bana , na nakushauri achana na CCM utapotea. Nenda shule jiendeleze kielimu ufike mbali. Hakuna atakae kuteua CCM utatumika kuimba Mama anaweza, umasikini utakuangamiza Kama hadi sasa unanunua bando za jero. Vodacom unlimited si 150K tu kwa mwezi, unatoa wapi nguvu ya kuandika mama anaweza mama anatimiza kama hata 150K kwa mwezi ni tatizo ? Mambo ya aibu sana.

Kwa mbwembwe zako ulitakiwa hata home kwako uwe umefunga Zuku unlimited. Unakula wifi free hata ukiwa chooni, sio kuchungulia bando imefika ngapi
Hapo unakuta unaishi Mapinga au Buza kwa Mpalange….. MAMA ANAweza Mama anatosha Lucas Mwashambwa
 
Si ulifurahia na kugaragara Kwa furaha mpaka machozi yalikutoka mama alipokua anawateua kina nape sasa endelea kugaragara kwenye Mb za voda
 
Nimeeleza wazi kuwa sijiungagi kifurushi cha jero bali nilifanya hivyo katika kutaka kujiridhisha na kutafuta majibu ya sababu ya ulaji na uishaiji wa kasi wa mb ambao haukuwepo swali sasa wewe unaweza vipi kununua bando la bei kubwa wakati unaona kuna hali isiyo ya kawaida imetokea?
 
Mwambie huyo chawa.....
 
wee kiazi kweli yani🤣🤣🤣🤣kupiga domo kote kule kumbe hela yabando nitatizo.

Sasa mb 200 unataka uzitumie masaa mangapi? labda uwashe data tuu usifanye chochote ndio zitakaa kidogo nyau wee

malaoo mama anatosha nyenyenyenyeeee kumbe bando lakupima kenge wewe katafute vibarua ufanye achana nahio kazibure uliojipa

utakufa masikini mjinga wewe kelele kibao mfukoni hamnakitu

voda huyuchizi akiweka bando likateni hapohapo hadi akili imkae sawa
 
.

Naona hujaelewa hoja yangu na ndio maana umekimbilia kunishambulia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…