Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Yanga moja bestHahahaaa. Hakika best yaani hii ndio raha ya Utani.
Yaani mtani wangu kashikwa hata hakoowi. Hivi best na wewe wa Msimbazi eee. [emoji12] [emoji12]
Ya 79Dakika ya ngapi
wasubirie ngao ya jamii lile kombe lilotengenezwa kwa mbao ndo level zaoMIAKA 6 SASA BILA KOMBE, SIMBA JIKE ANATIA HURUMA
safi sanaYa 79
Hahahaaa. Bila kuwa makini wataendelea kuliona tu magazetini. Teh.hahaha kweli mkuu wanahasira kombe wanalionaga kwenye magazeti tu
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] safi sana aisee best.Yanga moja best
Hahahaa. Na huwa wanashangilia hao.wasubirie ngao ya jamii lile kombe lilotengenezwa kwa mbao ndo level zao
Sawa Dada nitarudi uniulize vizuriNaongea na wewe Dada [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu emmyta leo naona unafuraha hadi bhasi.....Joseverest, zeshchriss na radika njooni huku leo mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Mtani analo.
Maswali maswali sio mda wake huu alikuwa wapi mda wote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utakuwa wa upande ule wewe
Wakifanya hivyo leo nitaoga konyagiUnited wanyama sana aisee,
Sasa united ongezeni kamoja basi tuwe na sauti mjini.