Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
yuko vizuri sanaWakuu, yule Golikipa wa KMC noma sana, kafuta goli kadhaa za maana, mpaka ametaka kufa kupania kuokoa mashuti ya Simba,hata goli LA pili alijitahidi kurukia na kugusa mpira
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app