Vodacom Premier League 'VPL' KMC FC dhidi ya Simba SC, Kazi Ipo Uwanja wa Uhuru

Mimi mhenga nakumbuka majivuno, majisifu na majigambo kama haya ya Simba yaliwahi kutokea wakati fulani miaka ya 80 Simba ikitambia kitu kinachoitwa diagonal....mechi ya Simba na Yanga ikafika huku Simba akiamini Yanga atakula nyingi ...Dakika tisini zikaisha na matokeo????? Simba 0 Yanga 3.....ukawa ndio mwisho wa majigambo, majisifu na majivuno....Na diagonal nayo ikawa ndio mwisho wake....Ushauri wa bure kwa wanasimba na hasa wa kizazi kipya...Dont underrate Yanga....mtakuja kung'oa viti uwanjani.....msiende uwanjani na matokeo mfukoni, mtakuja kujuta.......
sio kwa yanga hii wasioweza kupiga hata pasi 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuwa siku mbaya saaana hii,by then Darasa la Kwanza!
 
Napnga kikosi cha kwanza cha kuiua Yanga.
1. Any, Manula or Beno.
2. Kapombe
3. Shabalala
4. Erasto
5. Wawa
6. Le Garson Fraga
7. Kanda
8. Aladdin Shiboub
9. Medi
10. Chama
11. Kahata
Kuna masahihisho hapa ?
Simba 4 Yanga yangu 0

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1954 umenikumbusha mbali sana hiyo diagonal samba simba walitoka nayo Brazil, Baada ya kichapo cha mabao 3 kutoka yanga na samba ikaishia hapo hapo, hawa simba washukuru sana yanga mwaka 1988 simba walikuwa wanashuka daraja, yanga wako moto ndio mabingwa ikabidi mechi yao wawaachie simba wawafunge ili simba wasishuke daraja, kipa wa yanga akampasia mpira Edward Chumila ili afunge goli ndio ikawa pona ya simba
Mkuu huyu alikuwa John Makele,huo mwaka nilikuwa LY.
 
Akili za Yanga ndio zinaamini hivi,Sisi Simba tunaamini inawezekana

Sent using Jamii Forums mobile app
Simba bado ipo hatua 1000 nyuma kushindana na akina TP MAZEMBE.

Kama kikosi wanapanga viongozi, kocha msaidizi anachaguliwa na uongozi.

Kiongozi akimpenda mchezaji anamsajili na hana manufaa kwa timu. Ushahidi ni Usajili wa Ajibu, Kennedy, Wilker, Tairone, Salamba, Kaheza n.k.

Matumizi ya klabu yanazidi mapato kwa kiwango kikubwa, na ikitegemea mtu atoe pesa yake mfukoni.

Wawekezaji wanaokuja Simba na Yanga wapo ili kukuza biashara zao binafsi.
Mfano: Mo Dewji, kawavuta UHL, anatangaza soda, sabuni.

Hapo Tairon mtoe,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napnga kikosi cha kwanza cha kuiua Yanga.
1. Any, Manula or Beno.
2. Kapombe
3. Shabalala
4. Erasto
5. Wawa
6. Le Garson Fraga
7. Kanda
8. Aladdin Shiboub
9. Medi
10. Chama
11. Kahata
Kuna masahihisho hapa ?
Simba 4 Yanga yangu 0

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora hata nyie kikosi kinapangika,sisi huku ni pasua kichwa balaa mana huelewi uanzishe nani umwache nani, wote mafundi!!! Namuonea huruma mkwasa kwa kizunguzungu atachopata ktk upangaji Wa first 11
 
Kama mna mafundi wengi hadi mnashindwa kupanga kikosi basi nina uhakika mwakani mtafika mbali kimataifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom