Vodacom Premier League VPL | Ruvu Shooting Vs Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba

Hiyo inaitwa Delaying tactics.
Wanafanya hivyo ili kutotengeneza mazingira ya wachezaji kuumia kwakuwa tayari wanaongoza kwa tofauti nzuri ya magoli. Na mchezo huu akiwepo Nyoni ndio Simba hucheza sana.
Na hii ndio maana unaona Simba wachezaji wengi hawapati majeraha.
Japo nakereka sana kama wewe hapo.
 
Muda ulikua umeisha mzee baba na wao wanapumzika kucheza kwa kasi ile ile mwanzo mwisho wanachoka muda kama huo wanapumzika na wao huku wakilinda goli lao.
 
Muda ulikua umeisha mzee baba na wao wanapumzika kucheza kwa kasi ile ile mwanzo mwisho wanachoka muda kama huo wanapumzika na wao huku wakilinda goli lao.
Na kujiandaa kwa mechi zijazo pia. Unaweza kukoma kumchapa ruvu goli 5 halafu ukawapa wachezaji fatigue bure tu, ukizingatia tayari pia Simba ina uwiano mzuri sana wa magoli (53), wakati timu inayofuatia ina magoli 26.
Ni kweli,kwetu mashabiki saa zingine inakera. Ila inabidi tuwe waelewa pia.
 
Vibe
 

Attachments

  • MASHABIKI WA SIMBAA BALAA TUPU BAADA YA USHINDI GOLI TATU DHIDI YA RUVU SHOOTING(360P).mp4
    3.2 MB
Nyoso ndio tabia yake tu mbona kapombe alishawai tukimbia kwenye dhiki mkuu au umesahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…