Vodacom Premier League VPL | Ruvu Shooting Vs Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba

Vodacom Premier League VPL | Ruvu Shooting Vs Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba

..
Screenshot_20210603-175012_Twitter.jpg
 
90+ 4 kuelekea kumalizika kwa mchezo

Mateso bila chuki yameanza..Ni Biriani inapigwa sasa, kwake Morrisooooon.

Naaaam mpira umekwishaaa ambapo Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao matatu kwa bila dhidi ya Ruvu Shooting

FT, VPL: Ruvu Shooting 0-3 Simba SC
 
Wakati Simba "wamemuiba" Morrison kiukweli nilikua mmoja wa watu ambae nilishangaa sana na kuwaza kuwa kwani jamaa kuna kipi anaenda kuongeza pale ambacho Simba haina kwa wachezaji walio nao?
Morrison has recently been proving how wrong i was.
Ili kuwakera Utopolo sasahivi tunatumia lugha ya"Simba tumewapora Yang BM.
 
Hawa paka shume walitubahatisha kale kagoli kamoja leo wamekula jeuri yao, Massau Bwire akatafute pakujificha, hilo kombe TFF waanze kulitanguliza Msimbazi taratibu, sasa namtaka uto tu.
 
Back
Top Bottom