Vodacom Premier League VPL | Ruvu Shooting Vs Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba

Vodacom Premier League VPL | Ruvu Shooting Vs Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba

85' Penatiiiii kuelekea Ruvu Shooting

Na anaonyeshwa Kadi Nyekundu golikipa Abdallah baada ya kumshika na kumwangusha eneo la hatari Morrison ambaye alikuwa mtu wa mwisho.

Anakwendaa kupiga John Bocco

Goooooooooaaal Goooooooaaal Bocco anaipatia Simba SC bao la tatu.

Ruvu Shooting 0-3 Simba SC
 
..
Screenshot_20210603-174442_Twitter.jpg
 
Goaaaaal dakika ya 88 simba inapata bao la 3 likifungwa na captain john raphael bocco
 
Morison katoka kwenye kizazi cha mzee Yakobo kwenye yale mataifa 12.
Wakati Simba "wamemuiba" Morrison kiukweli nilikua mmoja wa watu ambae nilishangaa sana na kuwaza kuwa kwani jamaa kuna kipi anaenda kuongeza pale ambacho Simba haina kwa wachezaji walio nao?
Morrison has recently been proving how wrong i was.
 
Pole mkuu majuto ni mjukuu
 
Back
Top Bottom