Vodacom Premier League VPL | Ruvu Shooting Vs Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba

Vodacom Premier League VPL | Ruvu Shooting Vs Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba

30' Mchezo ni mkali Wanaume hawa wanapambana huku Simba wakimiliki zaidi kuliko Ruvu

Ruvu Shooting 0-1 Simba SC
 
45+1'

Kuelekea kuwa mapumziko uwanja wa Kirumba

Nyoni kwake Manula wanapanga mashambulizi... Naaaam mpira ni mapumziko ambapo Simba SC wapo mbele kwa bao moja kwa bila dhidi ya Ruvu Shooting.

HT, VPL: Ruvu Shooting 0-1 Simba SC
 
Back
Top Bottom