rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Nyoni leo anacheza mkoba kama tulivyomzoea, anaipanga beki vizuri na anaanzisha mashambulizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anaanzisha zengwe asiulizwe ubingwa vepeeee
Hata mimi nimemuona Nyoni katulia sana leo,hivi Simba ina vikosi vingapi vya first eleven?Nyoni leo anacheza mkoba kama tulivyomzoea, anaipanga beki vizuri na anaanzisha mashambulizi.
fast=first [emoji1628]Hata mimi nimemuona Nyoni katulia sana leo,hivi Simba ina vikosi vingapi vya fast eleven?
Mzee wa kuwakeraaaaaaaaaaa.45' Kipindi cha pili kimeanza uwanja wa Kirumba
Ametoka Dilunga na ameingia Bernard Morrison upande wa Simba SC
first [emoji123] [emoji1628]
Nipo kitambo kaka toka nina miaka 7 sema kuingia huku JF muda mwingine mambo mengi tunapoteaKaribu unyamani bibie hapa ndipo kwenye burudani ya soka.
ila kufunga mara kwa mara kunaongeza confiden...Naoan Bocco watakua wamempa training ya jinsi ya kutarget goli siku hzi analenga on point. Yale mashuti ya kupaa hewani yamepungua