Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Super Sheva_ miraji athumaniKiongozi nan katupia
PamojaSuper Sheva_ miraji athumani
Bado tu hujaifuta hii comment aiseee una moyo,, muungwana chutama kuwepa lawama basi daahUkweli usemwe tu........Simba imekuwa timu ya kawaida sana ukiangalia hii mechi hauoni utofauti wowote wa Simba yenye Professional players na Ruvu yenye wachezaji ambao ni loser.
M. AthumaniKiongozi nan katupia
77' Ametoka Maddie Kagere na ameingia Ibrahim Ajibu upande wa Simba SC
Kahamia kwenye kuvaa vikukuKagere siku hizi sijui ana nini? Sio yule tuliye mzoea
Yesssssss74' Goooooooooooooooooooaaal...Gooooooal
Miraji Athumani anaipatia Simba SC bao la tatu baada pasi safi ya Kahata
Ruvu Shooting 0-3 Simba SC
Tuwekee table hapaSimba SC, Mnyama Mkali Mwituni yenye ya Viwango vya CAF..NguvuMojaView attachment 1270392
Naona fire hapa Sijui ndo wanakuja kwakoSimba wakishinda leo nitalichoma moto gorofa langu hapa Masaki ,. FULL TIME: RUVU 3 SIMBA 0