Vodacom Premier League (VPL) Ruvu Shooting vs Simba SC Uwanja wa Uhuru, show ya hatari

Vodacom Premier League (VPL) Ruvu Shooting vs Simba SC Uwanja wa Uhuru, show ya hatari

77' Ametoka Maddie Kagere na ameingia Ibrahim Ajibu upande wa Simba SC
 
Ukweli usemwe tu........Simba imekuwa timu ya kawaida sana ukiangalia hii mechi hauoni utofauti wowote wa Simba yenye Professional players na Ruvu yenye wachezaji ambao ni loser.
Bado tu hujaifuta hii comment aiseee una moyo,, muungwana chutama kuwepa lawama basi daah
 
79' Anatoka Kahata na ameingia Shiboub upande wa Simba SC

Ruvu Shooting 0-3 Simba SC
 
Musaaaaaaaaa anapigaaaa Konaaa, inapigwaaa kona Manula anacheza ilikuwa hatari lile Shuti
 
90+3' kuelekea kumalizika kwa matange huu wa VPL

Mpira wa adhabu kuelelea Ruvu, anapiga Ajibu, anapigaaaaa mpira unapiga ukuta wa mabeki

Wakati wowote mpira utakwisha bado sekunde chache..!

Naaaaaaaaaaaaaaam mpira umekwisha Uwanja wa Uhuru ambapo Simba wakichomoza na ushindi wa mabao matatu kwa bila, yakiwekwa kimiani na Miraji Athumani 40' 74' na Tairone Santos 46'

FT; Ruvu Shooting 0-3 Simba SC
 
Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni yenye ya Viwango vya CAF..NguvuMoja
FB_IMG_1574522150910.jpeg
 
Back
Top Bottom