Karibu Uone mpira Unavyochezwa..Kunywa juice ya Ndimu nakuja kulipia[emoji23][emoji23]Hahahaaaa. Hebu huko Mtani.
06' Fragaaaaaaa Goooooooooooooooooooaaal
Simba SC wanaandika bao kupitia kwa Gerson Fraga kufuatia mpira wa faulo uliopigwa na Chama
Simba SC 1-0 Coastal Union