Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Coastal Union, Soka Kabambe Uwanja wa Taifa

Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Coastal Union, Soka Kabambe Uwanja wa Taifa

54' Ajibuuuu laaaaaaaaaa, bado wanao Simba, Boccooooooo laaaaa njee Simba wanakosa nafasi ya wazi kuandika bao la pili

Simba SC 1-0 Coastal
 
61' Kona kuelekea Coastal, inapigwa kona lakini haijazaa matunda, mpira unakwenda mbele ya lango la Simba lakini mpira unatoka nje ni wa kurusha

Mabadiliko Simba; Anaingia Dilunga ametoka Ajibu
 
75' za mchezo huu wa VPL, ambapo Simba wapo mbele ya bao moja wanamiliki Simba pembeni ya Uwanja kwake Gadiel

Ni faulo, inapigwaaaaaa
 
78' Gerson Fragaaaaaaa Goooooooooooooooooooaaal

Simba SC wanandika bao la pili likifungwa na Gerson Fraga akimalizia mpira uliotemwa na golikipa kufuatia shuti kali la Dilunga

Simba SC 2-0 Coastal
 
82' Ametoka Bocco, na ameingia Shiboub upande wa Simba SC
 
90+4' kuelekea kumalizika kwa mchezo huu wa VPL

Bado Simba wanamiliki mpira huku mabeki wakihakikisha hakuna madhara langoni kwao
 
Mimi nawaaasa Viongozi wakae meza moja na akina Nyoni na wenzake ambao walikuwa na kamgomo baridi kuhusu falsafa za kocha Sven, wapunguze uswahili swahili ili timu ipate mafanikio.
 
90+4' Katoka Uwanja Taifa dakika hizi za lala salam kwake Dilunga, kwake Shibuob

Wakati wowote mpira utamalizika Simba wanapiga pasi ya hapa na pale

Naaaaaaam mpira umekwishaaaa Simba wanaibuka kidedea kwa mabao mawili bila majibu dhidi ya Coastal Union yakiwekwa kimianina yote na Gerson Fraga 07' 78'.

VPL, FT: Simba SC 2-0 Coastal Union

.....Ghazwat
 
Back
Top Bottom