Ekuweme
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 3,520
- 3,962
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio nijiandae unaleta IST Mtani? 😂😂😂😂Karibu Uone mpira Unavyochezwa..Kunywa juice ya Ndimu nakuja kulipia[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo hakuna shida ya kutumia V.A.R , maana mashabiki wa Yanga wanatosha
Endeleeni kupiga kelele sisi ndo tunasogea hivyo[emoji23][emoji23]Sio nijiandae unaleta IST Mtani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha utamsikia kocha wao badae akisema hafurahishwi na ushindi wa SimbaBongo hakuna shida ya kutumia V.A.R , maana mashabiki wa Yanga wanatosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo hakuna shida ya kutumia V.A.R , maana mashabiki wa Yanga wanatosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio marefa wetu hawa. Haikuwa offside kabisa01' Goooo laaaaaaaaaa,
Mwamuzi anakataa bao la Kagere kwa madai kabla hajafunga alikuwa ameotea...!
Churra yake makelele ya kukoroma tuu. Jina la churra kwenu safi kabisa.Mtu na tawi lake,kwani kuna jipya hapa?
La tatuHuyu Fragga huyu huenda hatujamuelewa vizuri, anyway goli lake la pili la ligi leo.
Lainsman anawaridhisha Yanga, anakataa goli Safi la Kagere kisa Yanga.
Hao waaamuzi watakula ban wewe waache tu.Lainsman anawaridhisha Yanga, anakataa goli Safi la Kagere kisa Yanga.
Sent using Jamii Forums mobile app