Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Coastal Union, Soka Kabambe Uwanja wa Taifa

Namna gani Coastal wanakosa bao, wanashindwa kutumia nafasi kwa mpira uliopigwa na Lyanga
 
Free Kick kuelekea Simba..Inapigwaaa na inaokolewa na mabeki

Kwake Shamte, kwake Chama ni faulo, lakini golikipa anaokoa mpira ule
 
45+2' kuelekea kuwa mapumziko Uwanja wa Taifa

Wanamiliki Coastal, wanapotea wanachukua simba sasa kwake Kagere, kwake Ajibuuu

Naaaaaaam mpira ni mapumziko ambapo Simba wakitangulia kwa bao moja bila dhidi ya Coastal

VPL, HT; Simba SC 1-0 Coastal
 
Huyu Fragga huyu huenda hatujamuelewa vizuri, anyway goli lake la pili la ligi leo.
 
Kipindi cha pili kimeanza uwanja wa Taifa

Simba dhidi ya Coastal kwa kasi kwa pande zote kushambuliana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…