90+4' Katoka Uwanja Taifa dakika hizi za lala salam kwake Dilunga, kwake Shibuob
Wakati wowote mpira utamalizika Simba wanapiga pasi ya hapa na pale
Naaaaaaam mpira umekwishaaaa Simba wanaibuka kidedea kwa mabao mawili bila majibu dhidi ya Coastal Union yakiwekwa kimianina yote na Gerson Fraga 07' 78'.
VPL, FT: Simba SC 2-0 Coastal Union
.....Ghazwat