Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Coastal Union, Soka Kabambe Uwanja wa Taifa

Mimi nawaaasa Viongozi wakae meza moja na akina Nyoni na wenzake ambao walikuwa na kamgomo baridi kuhusu falsafa za kocha Sven, wapunguze uswahili swahili ili timu ipate mafanikio.
safu ya ulinzi ni kama ilikuwa na kamgomo kuhusu kocha na hasa swahiba wao manula kusugua benchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga mcheza taichi wenu akanyage mpira uso na faida wenye mpira wao fraga wanatia vyuma
 
safu ya ulinzi ni kama ilikuwa na kamgomo kuhusu kocha na hasa swahiba wao manula kusugua benchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapumbavu sana.
Baada ya kupata hizi taarifa nimemskitikia sana Nyoni yeye kisa Wawa, Manula, Wawa na Kapombe walitoka wote Azam baaasi wanaleta ushirikiano wa kufelisha falsafa za Mwalimu mwenzao anapowajibishwa.
Huuu ndio wakati wa MLIPILI jamani tupaze sauti.
 
'Ngoja niwastue Brazil' ...........OYAA huko Brazil ...kuna vijana wenu wawili huku bongo ..washaiva kabisa .vitu wanavyoonyesha sio vya kawaida... sasa mnaweza kuwaita National team...OVA
 
Kusema ukweli simba m'mebebwa sana, yale magoli ya fraga yote ni offside

It's Scars
Hahaha hii VAR ina vunja haki za ushindi hapa Tanzania inatakiwa ipigwe ban kuingia uwanja wa taifa.
 
Fraga...ananikumbusha Ricardo 'Kaka' dos Santos. Mmmh mbona marefa watalaumiwa sana mwaka huu......Go...go...go FRAGA, Go...go...TAIRONE SANTOS....!
 
Wouzeer [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Hakuna mgomo acheni uzushi wa wale VAR FC ukweli ni kwamba umri na vijana.washamfahamu mbio.hamna
Mimi nawaaasa Viongozi wakae meza moja na akina Nyoni na wenzake ambao walikuwa na kamgomo baridi kuhusu falsafa za kocha Sven, wapunguze uswahili swahili ili timu ipate mafanikio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…