Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazungumziaje hilo la piliTFF kwa kuwa na baadhi ya waamuzi ambao siyo makini kwenye kutafsiri sheria 17 za soka. Penati rahisi sana ile.
Bustani labdaWanasawazisha nini
Unazungumziaje hilo la pili
Kikubwa point 3 hatutahesabu magoliHilo la pili ni goli halali, zaidi tu mwalimu atawalaumu walinzi wake kwa kumuacha mchezaji mwenye uzoefu kama huyo Clotus Chama kuafanya anachotaka. Ila lile la kwanza, mwamuzi amewazawadia. Ilikuwa ni penati nyepesi sana.
Hata liver waapewaga penati nyepesi..shambulia mara kwa mara ingia ndani ya box. Utalazimisha makosa kwa mpinzani wako au refa.Hilo la pili ni goli halali! zaidi tu mwalimu atawalaumu walinzi wake kwa kumuacha mchezaji mwenye uzoefu kama huyo Clotus Chama kufanya anachotaka ndani ya eneo la hatari.
Ila lile la kwanza, mwamuzi amewazawadia. Ilikuwa ni penati nyepesi sana.