Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba wanapata fainati baada ya Miraji kufanyiwa faulo
Inakwenda kupigwa na MK 14
Tumeanza
Nani alaumiweKweli! Mmeanza kubebwa na waamuzi. Siyo kwa penati ile.
Kwako jessey john7' anakwenda Kagere 1,2,3,4 anapigaaaaaaa, Goooooooooooooooooooaaal Goooooooooaaal Maddie Kagere anaipatia Simba bao la kwanza kwa mkwaju wa painati
Simba SC 1-0 Mbeya City
Nani alaumiwe
Wanasawazisha niniDk 25 Mbeya City wanasawazisha hapa!
Wamebebwa na mchezaji wa mbeya city aliyesababisha penaltypenati ya kubebwa kabisa