Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Mbeya City, Kazi ipo Uwanja wa Uhuru

Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Mbeya City, Kazi ipo Uwanja wa Uhuru

Simba wanapata penati baada ya Miraji kufanyiwa faulo eneo la hatari

Inakwenda kupigwa na MK 14
 
7' anakwenda Kagere 1,2,3,4 anapigaaaaaaa, Goooooooooooooooooooaaal Goooooooooaaal Maddie Kagere anaipatia Simba bao la kwanza kwa mkwaju wa penati

Simba SC 1-0 Mbeya City
 
Ajibu anamiliki mpira kwa kiwango cha HD, na kwenda mbele lakini mipango inakataa kujaribu kufunga bao..!
 
7' anakwenda Kagere 1,2,3,4 anapigaaaaaaa, Goooooooooooooooooooaaal Goooooooooaaal Maddie Kagere anaipatia Simba bao la kwanza kwa mkwaju wa painati

Simba SC 1-0 Mbeya City
Kwako jessey john
 
15' Miraji anapiga shuti kali, lakini mpira unatoka nje na kuwa goal kick

Simba SC 1-0 Mbeya City
 
20' Free Kick kuelekea Simba SC, inapigwa lakini inababatiza beki wa Simba inaokolewa

Simba SC 1-0 Mbeya City
 
25' Simba wako mbele ya bao moja huku Mbeya City wakifanya mabadiliko kwa wachezaji wake
 
Mbeya city kacheni mtelezo huo maana Mwadui kashawatengenezeni njia
 
31' Kona kuelekea Mbeya City..Inapigwa kona juu juu kwake Mzamir kwake Shiboub..wanapoteza Simba
 
Back
Top Bottom