Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Mbeya City, Kazi ipo Uwanja wa Uhuru

34' Kagere anakwenda aaaaaa hatari goooal la la laaaaaaa golikipa anacheza...llikuwa hatari lango la Mbeya City
 
45+2' kuelekea kuwa mapumziko Uwanja wa Uhuru

Naaaaaaam mpira ni mapumziko ambapo Simba SC wanatoka wakiwa mbele ya mabao mawili bila majibu dhidi ya Mbeya City

HT: Simba SC 2-0 Mbeya City
 
Unazungumziaje hilo la pili

Hilo la pili ni goli halali! zaidi tu mwalimu atawalaumu walinzi wake kwa kumuacha mchezaji mwenye uzoefu kama huyo Clotus Chama kufanya anachotaka ndani ya eneo la hatari.

Ila lile la kwanza, mwamuzi amewazawadia. Ilikuwa ni penati nyepesi sana.
 
Hilo la pili ni goli halali! zaidi tu mwalimu atawalaumu walinzi wake kwa kumuacha mchezaji mwenye uzoefu kama huyo Clotus Chama kufanya anachotaka ndani ya eneo la hatari.

Ila lile la kwanza, mwamuzi amewazawadia. Ilikuwa ni penati nyepesi sana.
Hata liver waapewaga penati nyepesi..shambulia mara kwa mara ingia ndani ya box. Utalazimisha makosa kwa mpinzani wako au refa.
 
Kipindi cha pili kimeanza Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam mtanange wa VPL kati ya Simba na Mbeya City

Simba SC 2-0 Mbeya City
 
45' za kipindi cha pili, Simba SC wanafanya mabadiliko..Miraji Athumani ametoka na nafasi yake amechukua Kahata
 
52' kipindi cha pili, timu zinacheza kwa kusomana mchezo kwa kupoza mashambulizi
 
56' Kahata anafanya kazi safi, kwake Ajibuuuu, lakini Ajibu anapiga shuti..Lakini golikipa anacheza.

Simba SC 2-0 Mbeya City
 
Kwa mara nyingine Kahata anafanya kazi safi na kumpasia Ajibu...Ajibuuuuuuuu Oooooh ni Goal Kick
 
πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…