Sasa kwa maelezo yako mkuu, Kagere jana alikuwa dhahiri kwenye offside position.Mpira au pasi ya mwisho kupokea mchezaji ndio inayoamua kuwa yupo position ipi huyo anayeipokea mpira wakati unapigwa. Na kwa namna hiyo tuangalie wakati mpira wa kichwa unapigwa je Kagere alikuwa position ipi onside au offside?
Sent using Jamii Forums mobile app
Beki kamkimbia kamkimbia kagere wakati mpira ulipopigwa na mkude,ule mpira usingechezwa na shibob basi isingekua offside,pale shibob alipougusa kwa kichwa tayari kagere alishakua peke yake so ni offside kwa kupewa pasi akiwa peke yake,reason ya pili baada ya kuupokea kautengeneza kabla ya kufunga maana alikua kaugekia golini kwake,angalia vizuri goli la samata lililokataliwa,jamaa angepiga 1 kwa 1 hata kama samata alikua kwenye offside position lingekua goli la jamaa lakini kitendo tu cha kumpasia samata ilishakua offside,kile kichwa cha shibob kisingeguswa na kagere iwapo mpira ungeingia kwenye nyavu lingekua goli,kuguswa na kagere tayari offsidehttps://youtu.be/Piy6EyL6jfkAngalia vizuri video usiongee kiushabiki,wakati mpira unapigwa Kagere hakuwa offside,ulivyopigea tu beki akataka kumkimbia Kagere,na hapo ndipo nyie msioangalia vizuri mnaposema ni offside
Sasa mkuu huoni wakati mpira wa kichwa unapigwa kwenda kwa Kagere alikuwa kwenye offside position? Au mpaka tuweke sheria ya offside kwa kiingereza labda itaeleweka manake Kiswahili kigumu kuelezea jambo.Huyu hapa kagere anapokea pasi ya kichwa, je alikuwa onside position au offside position?View attachment 1340614
Sent using Jamii Forums mobile app
Mikia waelewa wanafurahia point 3 lakini wanakuambia ile ni mbeleko
Kama Ghazwat 😎😎😎 kwa mbaali itakuwa ameshajua ile ni mbeleko na ndio sababu post zake leo zimepooa.Mikia waelewa wanafurahia point 3 lakini wanakuambia ile ni mbeleko
Beki kamkimbia kamkimbia kagere wakati mpira ulipopigwa na mkude,ule mpira usingechezwa na shibob basi isingekua offside,pale shibob alipougusa kwa kichwa tayari kagere alishakua peke yake so ni offside kwa kupewa pasi akiwa peke yake,reason ya pili baada ya kuupokea kautengeneza kabla ya kufunga maana alikua kaugekia golini kwake,angalia vizuri goli la samata lililokataliwa,jamaa angepiga 1 kwa 1 hata kama samata alikua kwenye offside position lingekua goli la jamaa lakini kitendo tu cha kumpasia samata ilishakua offside,kile kichwa cha shibob kisingeguswa na kagere iwapo mpira ungeingia kwenye nyavu lingekua goli,kuguswa na kagere tayari offsidehttps://youtu.be/Piy6EyL6jfk
Huyu hapa kagere anapokea pasi ya kichwa, je alikuwa onside position au offside position?View attachment 1340614
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile beki ilijichanganya kinoma. Nadhani alikuwa na mawazo mawili i) kuwahi kumzunguuka kagere ili auwahi mpira na kuuokoa ii) alidhamiria kucheza offside trick. Lolote katika hayo asichokuwa akijua ni kuwa mtu aliyekuwa akikabana nae ni international professional hasa anapokuwa kwenye eneo la 18
Basi atakua muelewa huyo 😀Kama Ghazwat 😎😎😎 kwa mbaali itakuwa ameshajua ile ni mbeleko na ndio sababu post zake leo zimepooa.
Mana wakishinda kihalali huwa anatambo zinazoambatana na maneno yale ya karaha lakini leo hazipo. 🤣
Lile la kipindi cha pili alilofunga na kusababisha nitake kwenda kulala, kabla ya kuona kibendera cha mwamuzi kiko juu kuashiria kua ni offside? La la sikuliona😉Unakijua sana Mtani. Najua kiulaya Ulaya tupo Chama moja.
Vp uliangalia mechi yetu jana na Man City? Vp lile goli la Hun Aguero lililokataliwa uliliona?
Jibu kwanza ulichoulizwa na wewe ndo uulize...vipi nanyie mlimpa IST Mpaka mkabebwa???
Sasa kwa maelezo yako mkuu, Kagere jana alikuwa dhahiri kwenye offside position.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umedandia jambo bila kufatilia kinachozungumzwa ni nini tokea mwanzoni. Kuna mtu nilikuwa namuelewesha alikuwa anasema haikuwa offside.Sasa mkuu huoni wakati mpira wa kichwa unapigwa kwenda kwa Kagere alikuwa kwenye offside position? Au mpaka tuweke sheria ya offside kwa kiingereza labda itaeleweka manake Kiswahili kigumu kuelezea jambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mpigaji wa mpira alipiga mpira direct kuja kwa kagere? Unaonekana sheria huijui.hapo mpira umeshapigwa beki kamkimbia mkuu,chukua screenshot ya kutokea kwa mpigaji mpira
Wewe ni Namungo kwanza mkuu?Kila siku controverse zipo kwenu tu? Jana assistant mmoja anawapa goli la offside,mwingine anaua movements za Namungo kwa offside za uongo wanapolikaribia goli la Mikia.......aibu ya wazi
Ivi kwanini kila timu inalalamika vyumba kupuliziwa dawa? Jana na Namungo naowamelalamika
Hapana mm ni mkazi wa RuangwaWewe ni Namungo kwanza mkuu?
Mpira ukishapigwa na mtoa pass mfungaji akitoka kabla mpira haujamfikia hiyo si offsideSheria inasema mchezaji anapopokea mpira anaangaliwa kama yupo onside au offside position. Kagere alikuwa onside wakati hajapata mpira ila alipoletewa mpira, alikuwa kwenye offside position.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi angalia kipyenga cha mwisho leo usiku kumaliza utata wote Azam TVHapana mm ni mkazi wa Ruangwa