Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Namungo FC, Kazi Ipo Uwanja wa Taifa


Hakunaga offside ya hivyo mzee
 
Weka wakati Shibob anapiga kichwa,japo inaonekana beki wa Namungo alimkimbia Kagere wakati kichwa kinapigwa na Shibob ndo maana akabaki peke yake
Hilo ni kosa la beki mwenyewe, tena alifanya kusudi hadi mtoto mdogo anajua kama shida afanye offside trick. Ndiyo maana alirudi Mbele asiwe level naye moja, alichobugi ni kukutanisha miguu ili mmoja usizidi na inaonekana alitaka kutengeneza tukio. Tazama hatua yake ya kurudi mbele
 
Mbona hapo ukiangalia Yanga nae kabebwa, tukosoe Kwa waamuzi wanakosea sio kwa, wanapendelea timu moja post 219
 
Kagere alishakuwa kwenye offside position kabla hata mpira haujamfikia Shiboub. Shiboub kampa pasi ya kichwa Kagere, akiwa tayari kwenye offside positionView attachment 1341084

Sent using Jamii Forums mobile app
Jana kipyenga cha mwisho imethibisha kagere aliotea na penalty ya Yanga dhidi ya Prisons haikuwa halali. so katika hizo mechi mbili wote Simba na Yanga walibebwa na hivyo kama mpenzi wa mpira na si shabiki watimu tunahitaja balanced na analysis ya pande zote siyo kila wakati simba kabebwa simba kabebwa utadhani ni uke wenza.
 
Jana siku nzima nilikuwa nabishana na nyie mnaokataa kuwa Kagere hakuwa kwenye offside position. Ni wazi sheria za mpira hamzijui mmekalia ushabiki tu, unasubiri Othman Kazi akutafsirie sheria. Bila Othman Kazi kusema kuwa Kagere alikuwa kaotea usingekubaliana na mimi kuhusu offside ya Kagere. Wewe na wengine type yako ni mashabiki oya oya mliojawa na mahaba pasipokujua hukumu ya sheria inasemaje hata kama imekupa favour upande wa timu yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Maradona alisema ule haukuwa mkono wake labda wa mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…