Kwani mpigaji wa mpira alipiga mpira direct kuja kwa kagere? Unaonekana sheria huijui.
Ni hivi mfano mimi ni beki wewe ni mshambuliaji; mpira umekuja langoni mwangu halafu mimi na wewe tupo position sawasawa hapo ukipewa mpira utakuwa onside. Lakini endapo hukupewa mpira kwa wakati ule, mimi nikamove mbele kufuata mpira au kufuata movement wa mpira halafu baadae ukapigwa mpira kuja kwako hapo utakuwa kwenye offside position.
Hakuna sheria inayosema beki lazima abaki na adui nyuma golini mwake. Bali sheria iliyopo ni kwamba wakati mpira unapigwa kuja kwa mtu, huyu mpokeaji wa mpira anaangaliwa kama anaupokea mpira akiwa kwenye onside au offside position. Hivyo kagere wakati mpira wa kichwa unapigwa yeye alikuwa kwenye offside position
Sent using
Jamii Forums mobile app