Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila unafiki, kiwango chake hasa umakini wa kukaa kwenye position na kumalizia nafasi umeshuka sana. Pia mfumo unamtesa sanaKagere ame flop kabisa yupo yupo tu uwanjani kama kuku aliyekatwa kichwa.
Tangu ile Bima yake ya afya ilivyopunguzwa kutoka Premium mpaka kawaida kaishiwa kabisaKagere ame flop kabisa yupo yupo tu uwanjani kama kuku aliyekatwa kichwa.
Hivi kuna siku unaweza kuangalia game bila kutoa lawama..Kagere ame flop kabisa yupo yupo tu uwanjani kama kuku aliyekatwa kichwa.
Kiwango cha kagere hakijashuka ila litimu sikuhizi limekuwa la hovyo...timu ina mastraika wawili tu boko na kagere na sikuhizi huwa anacheza kagere tu...mabeki wa timu pinzani wanajua muuaji wa simba ni kagere so anakabwa yeye tu...tatizo la simba ni viongozi...litimu sikuhizi lina bureaucracy sana...timu mabeki hamna tumebakiza mizee ile mda wote mizito imesimama ikikutana na foward zinazokimbia basi tuandae kapu la magoli...kwa bureaucracy iliyopo simba nakwambia hata leo makipa wote waumie tunaweza cheza msimu mzia bila kufanya usajili wowote wa makipa na kwa akili za viongozi wetu usishangae wakamwambia kagere ndo awe kipa...simba sahivi inahitaji iongeze ma straika wazuri wawili vijana waje kuwasaidia kagere na boko na ma beki wa tatu central,left na right back...na wamrudishe kotei sababu pengo lake bado halijazibika...cha kushangaza akili za viongozi wa simba wanasajili wa kina kichuya ambao wameshindwa soka la kulipwa huko tena timu za daraja la pili viwango vimeishaBila unafiki, kiwango chake hasa umakini wa kukaa kwenye position na kumalizia nafasi umeshuka sana. Pia mfumo unamtesa sana
Sent using Jamii Forums mobile app

Tangu lini timu ikawa na mstraika wawili tu...tatizo la viongozi wa simba inaonekana ni watu ambao mpira hawajui wapo simba kwa sababu zao tu binafsi za kimaslahi...simba inatakiwa ifanye usajili wa mastraika wa kuwasaidia boko na kagere...unachezesha straika mmoja alafu unataka afunge wakati mabeki wa timu pinzani wanamwangalia huyo tu...chakushangaza timu inakuletea wale wauza matikiti wa brazil na kuwarudisha wakina kichuya huku wakiwaacha wakina kotei ambao mapengo yao bado yanaonekana hadi leoKocha ajaribu kuweka forward 2 aone matokeo. Mipira inapanda vizuri ila inakuta Kagere kakabwa na beki 3. Utapenyaje