Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Polisi Tanzania, Rekodi Ya Alama 50 Kuwekwa Leo


Wana Simba tujiandae Kisaikolojia huenda Mchezo huu wa leo ukawa mgumu Kwetu na tukakoswakoswa Kufungwa na tukatoka Sare. Siku ya leo kidogo Kinujumu / Kinyota Kwetu imekaa vibaya. Tukishinda basi itakuwa ni Furaha Kwetu lakini nasisitiza tuwe makini na hii Mechi ya leo.
 
Utabiri wa kijinga
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polisi lazima wakae
Mnyama Point 3 muhimu leo
 
Asalaam Tanzania, ligi kuu Tanzania VPL kuanza hivi punde..!

Vijana 22 kuumana uwanjani ndani ya dakika 90

Naaaaaaam mpira umeanza Uwanja wa Taifa kusaka alama tatu muhimu karibu sanaaaaaaaa

00' SIMBA SC 0-0 POLISI TZ
 
05' jaribio la kwanza langoni mwa Polisi, lakini golikipa anatokea na kudaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…